Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

Nyie majitu mna roho mbaya kuliko shetani.!
hiyo operation yenu mtaendesha kwa kivuli cha chama gani na ili iweje?
tunacholilia ni kumkomboa mnyonge wa nchi hii na si madaraka as individual.
Jipangeni upya na mtafakari kwa kina hasa kuhusu jamii mnayoenda kukutana nayo na mstakabari wa nchi yetu.
Jamii kubwa ya Watanzania ni maskini wa elimu ya uraia, je tunahubiri mabadiriko ya maisha kwa jamii zetu au siasa za kuhasimiana?
Mwisho; nasema hivi Tanzania ni yetu sote na CHADEMA ni taasisi ya wote, si ZITTO, SLAA wala MBOWE. Kama Zitto ameonewa, bila shaka baraza kuu na wajumbe wake wataamua suala hili kwa masrahi mapana ya Watanzania.

Hizi laana zinatoka wapi mama yangu, kama Zitto mnaona hana uwezo mwacheni basi.
 
CDM ni chama cha watanzania haku mwenye hakimiliki ya hichi chama japo Kuna waasisi.Go go Zitto I support U.naomba kushirikishwa kwa ukaribu sana kwenye hii movement ya kuondoa wahafidhina ndani ya chama.hatuwezi kupambana na ufisadi wakati sisi ni mafisadi M4C ndani ya CDM tunahitaji mabadiliko kwani uongozi umeprove failure tunahitaji mabadiliko.
 
Mkuu hebu toa mwongozo itaitwa kwa jina gani hii oparesheni? Kwa kweli ningependa sana kama itazinduliwa tareh 5/ february siku yakumbukumbu ya.azimio.la Arusha ambalo lilitujali wanyonge
 
CDM ni chama cha watanzania haku mwenye hakimiliki ya hichi chama japo Kuna waasisi.Go go Zitto I support U.naomba kushirikishwa kwa ukaribu sana kwenye hii movement ya kuondoa wahafidhina ndani ya chama.hatuwezi kupambana na ufisadi wakati sisi ni mafisadi M4C ndani ya CDM tunahitaji mabadiliko kwani uongozi umeprove failure tunahitaji mabadiliko.
Naona ushindi kwani ni jambo rahisi sana kudefend ukweli.
Watashindana lakini HAWATASHINDA.
 
Wakati chadema wakiiendelea na operation pamoja daima, wakiongozwa na Mh Freeman mbowe na viongozi waandamizi wa chadema (ambao kwa mujibu wa waraka wa ushindi 2015 ni kundi la wahafidhina) habari nlizozipata sasahivi ni kwamba tayari mipango ya kundi la wapenda democrasia limeanza kukusanya nguvu kuanza kuzunguka kona za hili taifa. Zitto ataongoza crew ya vijana wasomi kutoka vyuo vikuu tisa, wapiganaji wote walionyimwa haki zao ndani ya chadema na tutazunguka nchini kuweka wazi msingi wa madai yetu kwa sababu pamekuwepo na upotoshwaji usiovumilika. Uwongo ukisemwa sana hugeuka na kuwa ukweli, hatutaacha huu uwongo na hekaya kutoka kwa baadhi viongozi wa chadema ugeuke hata sentimita moja, utabakia kuwa uwongo.

Tunatambua tabia ya uwongo unapotamkwa husambaa haraka sana pembe zote za nchi wakati ukweli ukiwa unavaa chup* nao uanze kutembea kwenye mitaa yote uwongo ulipokatiza na hatimae ukweli husimama.

Wanademokrasia wote popote mlipo pembe zote za hili taifa jiandaeni kupokea hoja na misingi ya madai yetu.

sixgate hiyo Operation inatakiwa ianze haraka sana iwezekanavyo baada tu ya hii Operation ya Chopa
 
Last edited by a moderator:
Tunawasubiri kwenye Battle ground......Ha ha ha.....OPD imewapandisha vichaaa.......Bado na mtachanganyikiwa mmoja baada ya mwingine.........We are waiting for you bunch of loosers.....Sisi ndo Watanzania na tunaelewa kila kitu.....

OPD with no apology....
 
sixgate hiyo Operation inatakiwa ianze haraka sana iwezekanavyo baada tu ya hii Operation ya Chopa

atapeperusha bendera gani?akianza mitusi huyo zitto wenu atakutana na lissu mahakamani,huyu sio mbunge wa cdm,ni wa mahakama za ccm.
 
Nimemjibu, kilewo kamshindwa mkewe anajidai kuiweza siasa? Hii nchi..

Kafulila nilikuwa naamini ulionewa na hawa jamaa though move yenu 2009 hata sisi waungwana ndani CCM tuliwashangaa! Kwa kitendo cha kushambulia ndoa ya mwanaume mwenzako tena kwa upuuzi upuuzi tu!, Hivi umeoa wewe na ukajua maana ya hiki ulichokiandika? Napata shida sana wanasiasa vijana tena huko upinzaniwanapokuja na kejeli kwa akina mama kana kwamba wao si watoto wa mwanamke! Ni kipi kilichokukera toka kwenye hoja ya Kilewo zaidi ya wito wake indirect ujitokeze kwa uhalisia na siyo invisible?

Napata shida moyoni mnapotuaminisha eti ninyi ndio warithi sahihi wa kile kilichoasisiwa na Mwalimu Nyerere and team. Kumbe alikuwa sahihi kusema hayuko tayari kuona nchi inatwaliwa na mbwa......huu ni ushahidi kuwa ninyi vijana wenzetu mmebeba agenda kinyume na msingi uliojenga nchi. Nini mantiki ya matusi haya ndg yetu? Hivi mnataka tuamini Kigoma youth kwenye wing ya upinzani ni janga la kitaifa. Umenihuzunisha sana, sikutaraji low responce toka Mbunge ambaye akisimama bungeni alinifanya nipate la kujifunza kama Mwana CCM
 
"Mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2), hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake"

G.Lema.

Karibu nyie wana demokrasia-feki,mamluki wa CCM !

we ni chizi kama huyo lema......kwa hiyo zito ndo anateua wagombea kwa niaba ya chama?!
mbona huulizi kwa nn jimboni kwa mzinzi mbowe madiwani wa ccm ni wengi kuliko chadema
?!
 
Tupo tayari kupokea hiyo ziara
safi sana mkui.sixgate

watanzania wote BARA NA VISIWANI TUPO TAYARI NA TUNAMSUBIRI KWA HAMU SHUJAA WA TAIFA,MTETEZI WA WANYONGE, MTUKUFU RAIS WETU MTARAJIWA ,KIJANA MSOMI NA MWENYE HEKIMA NA MAARIFA ,MHESHIMIWA ZITO ZUBERI KABWE .
 
Kafulila nilikuwa naamini ulionewa na hawa jamaa though move yenu 2009 hata sisi waungwana ndani CCM tuliwashangaa! Kwa kitendo cha kushambulia ndoa ya mwanaume mwenzako tena kwa upuuzi upuuzi tu!, Hivi umeoa wewe na ukajua maana ya hiki ulichokiandika? Napata shida sana wanasiasa vijana tena huko upinzaniwanapokuja na kejeli kwa akina mama kana kwamba wao si watoto wa mwanamke! Ni kipi kilichokukera toka kwenye hoja ya Kilewo zaidi ya wito wake indirect ujitokeze kwa uhalisia na siyo invisible?

Napata shida moyoni mnapotuaminisha eti ninyi ndio warithi sahihi wa kile kilichoasisiwa na Mwalimu Nyerere and team. Kumbe alikuwa sahihi kusema hayuko tayari kuona nchi inatwaliwa na mbwa......huu ni ushahidi kuwa ninyi vijana wenzetu mmebeba agenda kinyume na msingi uliojenga nchi. Nini mantiki ya matusi haya ndg yetu? Hivi mnataka tuamini Kigoma youth kwenye wing ya upinzani ni janga la kitaifa. Umenihuzunisha sana, sikutaraji low responce toka Mbunge ambaye akisimama bungeni alinifanya nipate la kujifunza kama Mwana CCM

Mods tafaadhali hizi name calling, unaingiza watu wasiohusika kwenye mjadala, achana na majina go streight kwenye hoja.
 
Wakati chadema wakiiendelea na operation pamoja daima, wakiongozwa na Mh Freeman mbowe na viongozi waandamizi wa chadema (ambao kwa mujibu wa waraka wa ushindi 2015 ni kundi la wahafidhina) habari nlizozipata sasahivi ni kwamba tayari mipango ya kundi la wapenda democrasia limeanza kukusanya nguvu kuanza kuzunguka kona za hili taifa. Zitto ataongoza crew ya vijana wasomi kutoka vyuo vikuu tisa, wapiganaji wote walionyimwa haki zao ndani ya chadema na tutazunguka nchini kuweka wazi msingi wa madai yetu kwa sababu pamekuwepo na upotoshwaji usiovumilika. Uwongo ukisemwa sana hugeuka na kuwa ukweli, hatutaacha huu uwongo na hekaya kutoka kwa baadhi viongozi wa chadema ugeuke hata sentimita moja, utabakia kuwa uwongo.

Tunatambua tabia ya uwongo unapotamkwa husambaa haraka sana pembe zote za nchi wakati ukweli ukiwa unavaa chup* nao uanze kutembea kwenye mitaa yote uwongo ulipokatiza na hatimae ukweli husimama.

Wanademokrasia wote popote mlipo pembe zote za hili taifa jiandaeni kupokea hoja na misingi ya madai yetu.

safi sana karibuni Iringa,muwaanike wahafidhina.
 
Mtatukuta tunawangoja tele kanda zinafanya kazi kisawasawa kuitisha mkutano kushoto sisi tuko kulia sama day same hours lazima wasaliti na mamuluki mwaka huu wamalizwe hakuna kulala mpaka kieleweke kwanza hazina muliyokuwa munailingia imefirisika sasa karudisheni fedha mulizoweka akaunti za nje mutapambana na sisi mwanzo mwisho

we mwanamke lazima dj mbowe akumimbe....unakiherehere sana! ngoja nim-text kuna kichwa huku........
 
Kwani lazima muwe chadema?chama chenu kipo ambacho ni ccm, kuna haja gani kutembea nchi nzima . tena kueneza usaliti, na kupotosha wananchi?jengeni ccm yenu, na msitegemee ushindi kwenye vita hii ya haki dhidi ya usaliti, ufisadi dhuluma, mateso ,wizi wa mali ya umma, hakika mtaangukia pua.

Sio kila anaedai demokrasia ndani ya chama ni msaliti,acheni kudanganya watu.
 
Back
Top Bottom