Wanachama wengi ccm hapa dc wanaisubiri kwa hama hiyo siku ya tarehe 27 ,may ili waingie chadema

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Hali sio nzuri kwa ccm hapa USA.kwani wanasema tunaongea na ndugu zetu huko nyumbani ,na wanasema watoswe CCM[MAGAMBA]Huu ni muda wa kuwatosa magamba.Asante Mama Leticia kwa kuja kutupa moyo.Makamanda hatutarudi nyuma kabisa.hiki kimbuga kitaendelea mpaka kieleweke.people power. Chadema Blog
 
labda wa sau lakini ccm dar ni ngome yetu afu padri slb mjanja sana akiona sabodo ametoa msaada wa pesa lazima aandae maandamano na mikutam ili ajilipe posho
 
Wewe kiboko Yenu, unastahili kufungwa jiwe la kusagia shingoni na kisha kutoswa kwenye kilindi cha maji. Mropokaji mkubwa na gamba gumu, mwache Dr wetu afanye kazi yake. Tunakueleza wazi safina iko wazi, na nafasi ingaliko tele, njoo uingie, mlango ukifungwa mtalia na kusaga meno na CCM yenu. Karaghabhaho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom