Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,660
- 113,887
Mkuu Erythrocyte , hili ndilo kosa kubwa Chadema mnalokosea kudhani kura wanazopata wagombea wenu ni kura za wanachama wenu!. No ni kura za wananchi!. Mimi nimehudhuria kampeni zake Geita, Chadema Geita ilikuwa ni Upendo Peneza, bila Upendo Chadema haina kitu kabisa Geita ila pia uchaguzi wa 2020 kuna kitu mbaya ilifanyika, CCM ikashinda!.Halafu mtu ambaye Chadema ilimpa kura za ubunge elfu 20 , hata angehama na watu 1000 ni kazi bure tu
P