Siasa za kizamani kabisa hizo CCM bado baadhi ya viongozi wana fikra zile zile za enzi ya TANU, tumesha toka huko kwenye kunyang'anyana wafuasi na sasa tupo kwenye kutatua kero za wananchiWanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source :Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Heee ,subirini sinadano iwaingia taratibu ,Geita sio Moshi au Arusha Mangi.Siasa za kizamani kabisa hizo CCM bado baadhi ya viongozi wana fikra zile zile za enzi ya TANU, tumesha toka huko kwenye kunyang'anyana wafuasi na sasa tupo kwenye kutatua kero za wananchi
Kwanini muilazimishe fulaha?Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source :Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Rekodi iwekwe sawa,nilikuwepo hapo nyankumbu,si hiyo idadi utajayo,idadi yao ilikuwa ni 83 tu ,tuache uzandikiWanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source :Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Upendo duh nini kimempata? Kama ni viti maalum mbona hata Chadema angepata 2025!! Kama ni jimbo mbona ana uwezo wa kulibeba maana 2020 alipata zaidi ya 30% licha ya nature ya chaguzi za kiafrika.Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Pascal MayallaWanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Wacha CCM waendelee kupiga punyeto tu.Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Hiyo cdm inaonekana ina wafuasi wengi kama mchanga, Kila siku nasikia wanachama wa cdm wamehamia ccm, tena wakiwa na kadi mpya na Bado hawaishi tu huko cdm! Lakini ikifika wakati wa uchaguzi inabidi ccm wapore uchaguzi Ili kubaki madarakani kwa shuruti.Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Kiukweli sipendi kabisa huyu sweetheart wangu
Amekaa akaangalia na kuona wenzake wa COVID-19 wanakula hela za bure huko bungeni. Ameona isiwe tabu acha naye ajiunge na chama Cha kupewa vyeo.Upendo duh nini kimempata? Kama ni viti maalum mbona hata Chadema angepata 2025!! Kama ni jimbo mbona ana uwezo wa kulibeba maana 2020 alipata zaidi ya 30% licha ya nature ya chaguzi za kiafrika.
Hata marehemu Alphonce Mawazo atakua anasikitika huko kaburini, he fought for nothing Kama wewe na Nusrat mliyekua wanafunzi wake leo hii mmesahau legacy yake na kuenda kuungana na mafisadi.
This is so disappointing
Na hao 83 ukute waliveshwa tu u CDM... hao wachawi wana sanaa za kijima mnoRekodi iwekwe sawa,nilikuwepo hapo nyankumbu,si hiyo idadi utajayo,idadi yao ilikuwa ni 83 tu ,tuache uzandiki
Seriously: Changamoto zikitatuliwa hapo Kura unapata kwa MtelezoSiasa za kizamani kabisa hizo CCM bado baadhi ya viongozi wana fikra zile zile za enzi ya TANU, tumesha toka huko kwenye kunyang'anyana wafuasi na sasa tupo kwenye kutatua kero za wananchi