Wana wa kiume mpoo ? Mmejipangaje ki-MVUTO ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Wanaume wengi tumekua tukijidanganya kua kama hauna mvuto kwa maana ya uzuri wa asili, basi huna thamani mbele ya wanawake, that's so wrong! .

Mvuto asili ni vionjo tu, vinavyomfanya mwanamke akutamani na sio kukupenda.
Kwani ni wanaume wangapi wenye mvuto wameishia kuangukia kwenye mikono ya wanawake wabaya wasio na mvuto unaoufikiria wewe?

Ieleweke kua hakunaga binadamu m'baya duniani , takriban wote tu wazuri kwa dhana ya kuumbwa binadamu, na ndiyo ktk uzuri huo sasa ndipo tofauti ya kuzidiana viwango vya mvuto na uzuri huanzia .

Wapo wazuri kiasi, wapo wa kawaida, na wapo wazuri saaaaana! .
Epuka kujishusha kwa kudhani huna mvuto! Inferiority. Wewe mwana wa kiume fahamu unavyoweza kua mmoja wa most desired man .
Wazungu wanasema
"Nothing is more desirable to woman than a man who's passionate goal oriented seductive and valuable, there's something hot about a passionate man that makes every woman melt .

TRIGGER HER EMOTIONS
Wanawake wengi wametawaliwa na hisia.
Husussan ktk suala zima la mapenzi , hivyo wanaongozwa sana na hisia , huo ndiyo ukweli wenyewe!

Kikubwa unachotakiwa kufanya wewe mwanaume ni kuteka hisia za mwanamke, na hii haihitaji kwenda shule au chuo kusoma ni vipi uteke hisia zao.
Kuna mif. Michache hapa mikuu namna ya kuteka hisia hizo.
-- Onesha unamjali katika yeye kwa kadri anavyotaka yeye kujaliwa.
-- Ktk kila anachokua anakueleza onesha respond ya umakini kumskiza, hata kama issue ni ya kipumbavu usionenye kum'ignore.
--- Maneno kama POLE
NAKUPENDA
UNANIFURAHISHA
UMEPENDEZA
UNA AKILI WEWEE UNANISISIMUA WEWEE
with related matter hua chachu ya kufanikisha zoezi husika.
Aidha pia ujue neno lipi lafaa wapi kati ya hayo kufuatana eneo na wapi na muda .
Sio mko msibani amefiwa na mtu anaemhusu unamwambia UNANISISIMUAGA WEWE ! na hivi na vile viashirio vya ngono!
How that can happen?
This's the biggest secret art that can make you a desired man for woman.
 
Hiii ni nzuri na inge faa zaidi kule MMU.

Nimeipenda
 
Leo yuko Night shift,hvyo niko Alone.
Mbona unazunguka hvo?
Sema unachotaka kusema.
Me nishakijua!!

Nilijua haitachukua muda kabla haijaku'cost!
Mke wa mtu na zurura na misele milango hii jamvini wakuache salama?
Hivi unaona hapa ni kama Makkah au Vaticano ? Wasela kwamba wameshiba andiko?
Haya chegama na Pussy kimburu .
 
Nilijua haitachukua muda kabla haijaku'cost!
Mke wa mtu na zurura na misele milango hii jamvini wakuache salama?
Hivi unaona hapa ni kama Makkah au Vaticano ? Wasela kwamba wameshiba andiko?
Haya chegama na Pussy kimburu .


Polepole basi mkuu,usinipeperushie ndege wanguu..........
 
Back
Top Bottom