Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

Duh,kwani kuna kigezo cha kuolewa/au kuoa ili uwe mwana JF?
Anyway,that's all about JF na fake IDs.
You don't have to make someone guess your real name,
your gender or your marital status.

Kuna mtu aliniomba password yangu ya sehem flani one day.
nikamtajia "alfaomega",...(don't even thing of cracking it),....akasema "alfa" haiandikwi hivyo
ni "alpha",...sasa what is the use of a password if kila mtu anaweza jua inaanzaje na kuishaje.
(By the way my password is always a key to another password).

Hiyo nimeisema kama kitu ambacho nimekigundua. mbona mnakuja juu namna hiyo?
 
Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa.

Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi kuyoyoma....basi kila mtu wanamwona ni adui kwao. Wamejikatia tamaa.

umesahau wale waliokata tamaa na ndoa zao, frustrations haziwaishi, wanatamani kutoka waenjoy freedom ya kuwa single.

Amandla.
 
Hili nalo neno tena unakuta katopiki hata kasiko na maana basi utaona wanacomment, wito kwa 2012 going forward lets discuss concrete issues sio kwa kuwa sredi kaanzisha fulani maarufu humu basi nyooote mnachangia hata kama ni upupu, JF ni ya great thinkers let us assume as ones
 
Back
Top Bottom