Wana JF wakutana india

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
Mimi ni mmoja wa wa-Tanzania naishi india.

Jana tarehe 10/01/11 GREAT THINKERS tulikutana jijini Bangarole,..

Katika kikao hicho, mambo makubwa yaliyoongelewa ni swala la katiba mpya, na mgogoro wa Arusha.

Kutokana na ufinyu wa muda, na majukumu tuliyo nayo. kikao hakikuisha, tutaendelea na kikao hicho juma lijalo.

Baada ya kikao cha wiki ijayo, tutawaletea maoni yetu humu ndani ya JF. Tunawasihi sana watanzania wenzetu, mliopo uko nyumbani Tanzania myachukue na ku-represent kwa vyombo husika.

Hatuwezi kwenda ubalozini kupeleka maoni yetu, ni wazi yatachakachuliwa. so njia sahihi ya kutoa maoni ni humu JF.

waTanzania wengi waliopo india wamehaidi kuhudhuria kikao hicho, kinacho-represent great thinkers wa india. kwa ku-sacrifies masomo na majukumu mengineyo, kwa kuhudhuria kikao hicho.

Mungu ibariki Tanzania.
ASANTENI
 
JF....The home of Great Thinkers...

Yes, go on kutumia haki muhimu ya kikatiba kpaza sauti zetu kwa mambo ya msingi yatakayojenga nchi yetu

Hongereni sana!!!!!!!
 
thats great, means u can contribute to your nation wherever u are.
 
Lakini sio nyie ambao JK akija huko kubembea anawafungulia matawi ya ccm?
Vitendo vyenu viendane na fikra zenu bana!..!
 
Jamani naombeni na wengine walioko Us, Sweden, Norway, Uingereza na kwengine kote mkutane na kujadili hatima ya Taifa na kubeba bendera ya vyama fulani tunataka maendeleo na sio hongo kazi za kimbea
 
Well well, well done wapendwa...
I wish to see the day nchi hii itakapopata uongozi unaostahili(unaojali wananchi) utakaowafanya ndugu zetu mliopo sehemu mbalimbali za dunia msukumwe kurudi nyumbani kuchangia katika maendeleo (+ve mabadiliko ya kiuchumi na kifikra) katika nchi yetu..
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.., IEPUSHE NA UDHALIMU HUU:Cry:
 
Hiyo ni hatua kubwa na muhimu sana katika kujenga nchi yetu. Muhimu ni kupata issues za ukweli na kuzi-present in various ways including wajapo kuwapa hi huko. Big-up sana! Tuko pamoja lakini ishu za kupapatikia kufunguliwa matawi na uongozi jina mvipige chini. First things first
 
inaweza kuwa habari njema kama wazo litaongozwa nia thabiti ya uzalendo kwanza! SHUKRANI KWA HATUA HIYO
 
Back
Top Bottom