Wana JF Morogoro (mji kasoro bahari)

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
1,263
Wapendwa wana JF Morogoro

Salaam, niko mji kasoro bahari mpaka J2 mchana. Napenda kukutana na members wote watakokuwa tayari.

Kama hauko Morogoro haikuhusu.

Natanguliza shukurani.

Wasalaam

Caroline.
 
Niko SUA wapendwa, nitakuwa huku kwa wiki 2 nyingine. Ebu tutafutane. 0655 447788)
 
Caroline mimi pia niko SUA lakini nimetoka kidogo kikazi narudi Alhamis nitakuona wapi, uko Main Campus au kule Solomon Mahlangu aka Mazimbu?
 
Back
Top Bottom