Elections 2010 Wana-CCM safi kwa nini msijiengue na kuunda Chama Kingine?

Inviolata

Member
Apr 23, 2009
70
2
Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka humo humo kwenye Chama Tawala. Mtu kama Magufuli (to me he is my favourite among all Tanzanian politicians), Mhe. Mwakyembe, I am not sure about Mhe Sitta (Sijui kama yuko genuine au La), na wengine ambao wameonyesha mwelekeo wa kutokukubaliana na chama chao kinavyoiongoza nchi hii. Why dont they come out?????? Kwani kuna nini humo CCM? What are they afraid of??? Inanipa wasiwasi na kuhoji dhamira yao kama ni ya kweli au la!.

Kwenye upinzani pia hapako Promising jamani, Chadema is okay kama watamweka Dr W. Slaa kuwa mgombea Urais lakini huyu Mbowe sina imani naye sana.
 
Inviolata, for your info. Mbowe is not vying for presidence this time around
 
Watatoka 2 make kimbelembele chao kitawafanya watengwe so hapo njia itakuwa nyeupe.Inviolata hat mm mbowe simuamini the same 2 Lipumba and Mrema,zamani matumaini yangu yalikuwa kwa Mbatia maana alikuwa alionyesha umakini lakini siye 2!
 
Mimi namkubali sana Mbowe ana sera nzuri sana na nia nzuri sana. Ila hata mimi hupata shida Kidogo kumuamini. Ila Dr Slaa BIG UP.
Kwa kweli kama ni mtu mfuatiliaji wa vyombo vya habari basi Kiongozi tunaye Magufuri and Second Dr Slaa and Vice versa!
 
Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka humo humo kwenye Chama Tawala. Mtu kama Magufuli (to me he is my favourite among all Tanzanian politicians), Mhe. Mwakyembe, I am not sure about Mhe Sitta (Sijui kama yuko genuine au La), na wengine ambao wameonyesha mwelekeo wa kutokukubaliana na chama chao kinavyoiongoza nchi hii. Why dont they come out?????? Kwani kuna nini humo CCM? What are they afraid of??? Inanipa wasiwasi na kuhoji dhamira yao kama ni ya kweli au la!.

Kwenye upinzani pia hapako Promising jamani, Chadema is okay kama watamweka Dr W. Slaa kuwa mgombea Urais lakini huyu Mbowe sina imani naye sana.

Nadhani solution sio kujito ccm tu na kuja upinzani, hata ukiwa ccm unaweza kufanya mambo mazuri yakaonekana, minadhani kila mtu na mahali alipo afanye kinacho mpsa kufanya. siasa pia nikazi watu wanatamani sana kutoka lakini wanaogopa pengine huo ukawa mwisho wao kisiasa
 
CCM hamna msafi na kuamia CCJ hakutamfanya mtu awe msafi ni matendo yake. Kumbuka kuwa kumwachia mwizi amwibie maskini kunafanya mwizi na anayemwachia wawe kundi moja.

M=j
 
Back
Top Bottom