Wana CCM niambieni, ni eneo gani mnaweza kujivuna kuwa mnafanya vizuri?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
kuna wana ccm kila kukicha wanaitetea serikali blindly. ukizunguka kila mahali generator, mashule hakuna walimu wala vitabu, maji safi hakuna, mfumuko wa bei, shilingi kuanguko, mauzo nje kudorora, rushwa, uzembe nk. nani anaweza kunionyesha sector ambayo unaweza kujivumia kuwa inafanya vizuri?
 
Wanajivuna kuwa chama kinachoungwa mkono na wajinga wengi, wezi, mafisadi na vilaza kama simakarunguyeye.
 
Sekta zote bwana zinashida kwelikweli, ukifuatilia kwa umakini utagundua hao ni mchwa wanabungua chini mpaka juu!!.. Hakuna afadhali hata sehemu moja..
 
nimeangalia taarifa ya habari TBC hapo kinondoni kuna shule watoto wanakaa chini, majengo yana nyufa kuta zinaweza kuanguka muda wowote na hata vyoo hawana. mtangazaji anauliza kama hapa mjini pako hivi vijijini itakuwaje? wakati huo madiwani wanatenga mamilioni kununua mavazi hawajali kununua madawati. ccm jamani ni ya shetani?
 
Nimeamini ccm hata uwape miaka 100 zaidi hawataweza kuifikisha nchi popote!
 
kuna wana ccm kila kukicha wanaitetea serikali blindly. ukizunguka kila mahali generator, mashule hakuna walimu wala vitabu, maji safi hakuna, mfumuko wa bei, shilingi kuanguko, mauzo nje kudorora, rushwa, uzembe nk. nani anaweza kunionyesha sector ambayo unaweza kujivumia kuwa inafanya vizuri?
ww ibange t seemz hw much una uwezo mdogo wa kufikiri, nadhan hata kw vyeti vyako kuna f za kutosha afu utakuw umesoma kw hivi vyuo vya ili mradi chuo eg cbe, ifm, tumaini n' otherzhttp://www.google.com
 
Wanafanya vzur kwenye MIPASHO pia, juz nilimchek mr. SIX akiWAPASHA wapinzan kuwa ni wanafiki na wasalit! Amesahau yeye usalit wake kwa CCJ?!
 
nimeangalia taarifa ya habari TBC hapo kinondoni kuna shule watoto wanakaa chini, majengo yana nyufa kuta zinaweza kuanguka muda wowote na hata vyoo hawana. mtangazaji anauliza kama hapa mjini pako hivi vijijini itakuwaje? wakati huo madiwani wanatenga mamilioni kununua mavazi hawajali kununua madawati. ccm jamani ni ya shetani?
ww dogo mbona unamawazo mafupi kama huyo mwandishi 4m four failure...hivi ni shule ngapi zina mandhali nzur kinondoni kuacha hyo moja ambayo wakathttp://www.google.com
 
ccm itajivunia kuwa na rais wa kimatafa ambaye hajui matatizo ya nchi yake.
wana haki ya kujivunia kufanikiwa kuendelea kuwepo madarakani bila ya wasi wasi wowote i.e hakuna wa kuwaondoa madarakani pamoja na matatizo yanayowakabili wananchi.
watajivunia kuwa sera nzuri kama maisha bora kwa kila mtanzania,tatizo la umeme kuwa historia na vibwagizo maarufu kama ushindi ni lazima,kasi zaidi,nguvu zaidi na ari zaidi.hee! he! tehe! kama kuna chama chenye vichekesho duniani basi magamba nouma! NIULIZE,JK ANAIONAJE SLOGAN YA KASI ZAIDI,ARI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI?HAJAWAHI KUONGEA HYO SLOGAN BAADA YA UCHAGUZI
 
wenzio wanadai wamedumisha amani na WASOMI WEENGI, Ingawaje tunawategemea sana wachina na WAWEKEZAJI!
 
kuna wana ccm kila kukicha wanaitetea serikali blindly. ukizunguka kila mahali generator, mashule hakuna walimu wala vitabu, maji safi hakuna, mfumuko wa bei, shilingi kuanguko, mauzo nje kudorora, rushwa, uzembe nk. nani anaweza kunionyesha sector ambayo unaweza kujivumia kuwa inafanya vizuri?

[h=3]MAISHA YA MWALIMU WA SHULE ILIYOJENGWA JUU YA MADINI LUDEWA[/h]
Mwalimu wa shule ya Msingi Mchuchuma ambayo imejengwa juu ya madini ya mchuchuma na Liganga wilaya ya Ludewa Bw JOSEPH THOMAS LUGOME (58) akitoka katika chuo chake
Hili ni darasa ambalo limezibwa kwa madirisha ya kiaina kama linavyoonekana
Hapa akikoka moto kwa ajili ya kuandaa chakula cha mchana ,shule ina walimu wawili pekee
Hii ni moja kati ya nyumba za walimu shule ya msingi mchuchuma wilaya ya Ludewa
elimu bora kwa wote mazingira duni kwa walimu
Hili ni darasa la tano ambalo wanasomea pia wanafunzi wa darasa la sita shule nzima ina walimu wawili pekee na wote wa kiume ambapo watoto wa kike wakiugua walimu hao hufanya kazi ya kuwasaidia.

Huu ni uchunguzi wa kina unaofanywa na mtandao huu chini ya ufadhili wa mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) katika kuangazia maisha ya wananchi na walimu wa shule za pembezoni mwa Tanzania kama hivi
 
ww ibange t seemz hw much una uwezo mdogo wa kufikiri, nadhan hata kw vyeti vyako kuna f za kutosha afu utakuw umesoma kw hivi vyuo vya ili mradi chuo eg cbe, ifm, tumaini n' otherzhttp://www.google.com

Nadhani tatizo la kufikiri liko kwako kuliko kwangu. Kwanza kudharau vyuo ulivyivitaja pekee inadhihirisha jinsi ulivyo mbumbumbu. Katika Tanzania moja ya vyuo vinavyotoa elimu bora sana ni IFM. Mtu mwenye akili anajadili hoja hatoi maneno ya kuudhi na kulenga individual kama wewe. Pinga hoja yangu usinipinge mimi. Hapa JF sidhani kama tunawahitaji watu wenye mawazo finyu kama wewe.
 
kwa kweli CCM wamefanikiwa sana tena saaaana KUIBA MALI za nchi hii. wezi wakubwa hawa
 
Back
Top Bottom