Wameshanitibuli............!!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,377
Hili si story, tunawaambia kaeni Uswazi ujue maisha!!! Ni true story kwa jirani yangu hapa ninapoishi!!

Shemeji wa kike, mdogo wa mke kaenda kumwambia rafikiye huko mtaani kuwa;

`Shem ananipagawisha sana, ana mwili mzuri wa mazoezi na hasa anapovaa `singlend` nampenda sana shem`

Maneno hayo yamezunguka mtaani then yamemfikia wife!! Sasa hapalalaliki hapakaliki hapakaliki home!!

Shem kabanwa kakiri kuyasema hayo maneno, ila wife ndo vile hana imani tena na ndoa yake though mume mtu hakuwa na habari na shem wake!!! (hakuwahi kumtamani achilia hata kumtongoza)

Jamaa arudishe vipi imani ndani ya ndoa maana kama ni kuongea wameshaongea saaaana mpaka wamechoka vikao kila leo na mbaya zaidi shem hana pa kupelekwa kwa sasa kwamba wangemuondoa, ndoa isiyo na imani nadhani wengi wetu kero yake mnaijua!! Ukimpigia tu shem simu utaulizwa mpaka yasiyokuwemo, ukikutana na shem mtaani yabidi ujifanye hujamuona coz ukimkampani mziki wake huko home ni balaa!!

Mawazo kwa mwenzetu jamani hana raha!! Akifika home huja kushinda kwa marafikize kukwepa home sababu ya maneno
 
bora tu ammeng'enyue huyo shemeji yake. Kama mbwai na iwe mbwai bwana!!!
 
mmh!huyo shem wa kike hana adabu hata kidogo
si angekua kisabuni tu kwanini kutangazia ulimwengu, haya sasa ndoa ya dadake ikiharibika yeye atakaa wapi
mxiii
 
:nerd:kuliko kuteseka na kosa hujafanya bora ufanye tu sasa uteseke kwa haki....kuna wanawake wanapenda shari dawa ni kumpa shari,suluhisho litapatikana tu huko mbele.....pengine anamtafutia visa mwanaume wake....manake sioni sababu ya huyo dada kumfanyia visa!:nerd:
 
Yule mdogo wako wa kike ambaye tunaishi nae unaniambiaje naye akileta ishu kama hizi vipi unaniruhusu?
 
Nashukuru ushauri huu umetolewa na female

Sasa Profesa naomba ukamilishe ile ripoti yako uliyoanza mwaka jana kwamba THE REAL ENEMY OF A WOMAN IS A WOMAN
Data zote unazo sasa nadhani

Kwa kuongezea ktk ripoti yako njoo na HAPA uone mdada mwingine anavyolalamika
 
mmh!huyo shem wa kike hana adabu hata kidogo
si angekua kisabuni tu kwanini kutangazia ulimwengu, haya sasa ndoa ya dadake ikiharibika yeye atakaa wapi
mxiii
Ndoa ikiharibika yeye ndo anachukua nafasi. Kumbuka "Kuvuja kwa pakacha...."
 
Yule mdogo wako wa kike ambaye tunaishi nae unaniambiaje naye akileta ishu kama hizi vipi unaniruhusu?

First lady wako anakuamini itakuwa ngumu sana kufanya kosa kama hili.....ikitokea mchukue tu,kama ikikupendeza!
 
Hili si story, tunawaambia kaeni Uswazi ujue maisha!!! Ni true story kwa jirani yangu hapa ninapoishi!!

Shemeji wa kike, mdogo wa mke kaenda kumwambia rafikiye huko mtaani kuwa;

`Shem ananipagawisha sana, ana mwili mzuri wa mazoezi na hasa anapovaa `singlend` nampenda sana shem`

Maneno hayo yamezunguka mtaani then yamemfikia wife!! Sasa hapalalaliki hapakaliki hapakaliki home!!

Shem kabanwa kakiri kuyasema hayo maneno, ila wife ndo vile hana imani tena na ndoa yake though mume mtu hakuwa na habari na shem wake!!! (hakuwahi kumtamani achilia hata kumtongoza)

Jamaa arudishe vipi imani ndani ya ndoa maana kama ni kuongea wameshaongea saaaana mpaka wamechoka vikao kila leo na mbaya zaidi shem hana pa kupelekwa kwa sasa kwamba wangemuondoa, ndoa isiyo na imani nadhani wengi wetu kero yake mnaijua!! Ukimpigia tu shem simu utaulizwa mpaka yasiyokuwemo, ukikutana na shem mtaani yabidi ujifanye hujamuona coz ukimkampani mziki wake huko home ni balaa!!

Mawazo kwa mwenzetu jamani hana raha!! Akifika home huja kushinda kwa marafikize kukwepa home sababu ya maneno

Amenishangaza sana huyo mke wa mwanaume . . . . .
Mwanaume hajawahi kumtamani wala kumtongoza shemeji yake, na isitoshe wamekaa na kuongea kuliweka suala sawa
Naona kama mke nae anahatarisha ndoa yake mwenyewe
Sioni sababu ya mke kutishika namna hiyo kama vile mume wake ndo mtu wa kwanza kutamaniwa na mwanamke wa nje
Kama kuna wanawake wengine wameshamuonja mume wake, akielezwa si atakunywa sumu afe????
Aache upuuzi, stress anaziongezea mwenyewe
 
:nerd:kuliko kuteseka na kosa hujafanya bora ufanye tu sasa uteseke kwa haki....kuna wanawake wanapenda shari dawa ni kumpa shari, suluhisho litapatikana tu huko mbele.....pengine anamtafutia visa mwanaume wake....manake sioni sababu ya huyo dada kumfanyia visa!:nerd:

Ndo prinsipo zangu hizo . . .
Hujala unaambiwa umekula
Bora ule kabisa . . . na hapo ndo utapata nguvu zaidi ya kusema HUJALA kuliko unapokuwa hujala kweli
 
Sikukosea kukufanya First Lady wangu sasa Easter tunaenda wapi?

Basi huyo mdogo wake wa kike niachie nitoke nae mie krismass hii . . . .
(sijui hii ni krismas au pasaka?? Sikumbuki kabisa)
 
Nami naunga mkono kwamba bora amle kabisa maana huyo mkewe ni mpuuzi alipashwa kulichunguza jambo hili kwa makini na agundue kuwa hakuna kitu.sasa cha msingi wewe bwana mle huyo dada kwa siri na umpe masharti kabisa kuwa asiseme kabisa ,basi we kula mpaka uzae nae basi
 
Ndo prinsipo zangu hizo . . .
Hujala unaambiwa umekula
Bora ule kabisa . . . na hapo ndo utapata nguvu zaidi ya kusema HUJALA kuliko unapokuwa hujala kweli

Kwa style hii mbona utavimbiwa??Huyo dada amrudishe mdogo kijiini kama ana wasiwasi!
 
wanawake wengine bwana,wagumu kupambanua mambo kama haya, hapo wakumchukia ni mume au mdogo mtu? mwehu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom