Wameru itakula kwenu Jumla mkiruhusu ufalme utawale kwa nguvu ya pesa

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Ikumbukwe kuwa hakuna hata siku moja binadamu atatosheka na pesa. Huyo jamaa bado anatafuta pesa, kuna kitu anataka huko Meru ndo maana anataka kuweka mtu wake.

Ikumbukwe kuwa aliweka mtu wake Arusha mjini, ili ahamishe watu nyumba Kaloleni, ila Yule mbunge wa gamba aliyeomaliza muda wake, akamnyima.

Sijui hiyo kampuni ya dubai inayotaka kujenga pale kaloleni lijamaa lina share,

Kwa hiyo wameru muwe macho, msije kupewa hela na mkauza uhuru wenu na wa kizazi kijacho.

Nasikia wiki ijayo anakuja kuongea na washiri na kuwapa mihela, oyooooo

Naremndu!!
 
Hon. Edward Ngoyai Lowassa ni mwanasiasa anayekubalika kwa umma wa watanzania. Chuki na wivu wako binafsi hazitasaidia lolote. Na kubwa zaidi Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania. Chadema jiandaeni kuokota manyoya Arumeru na pia 2015.
 
Kama kawaida yako kila post inayomuhusu Lowasa lazima utokee...shame on u!
RIP wewe na wapambe wake wote....shame on u all
 
Mbaya zaidi na kwa jinsi alivyowadharau wameru kaamua kumleta Mkenya aje awatawale wameru.
 
Hon. Edward Ngoyai Lowassa ni mwanasiasa anayekubalika kwa umma wa watanzania. Chuki na wivu wako binafsi hazitasaidia lolote. Na kubwa zaidi Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania. Chadema jiandaeni kuokota manyoya Arumeru na pia 2015.

mh...nafikiri una uvivu wa kufikiri! Pesa zake ndizo zinaheshimika labda!
 
Wameru ni wajanja hawawezi kuingia katika mtego huu wa mafisadi!, tutakula hela zao lakini kura kwa CHADEMA.
 
Wachaga wanapowanyeyekea Wameru, kweli dunia imekwisha! leo hii tunafikia kuona Mchaga akimuomba MMeru, madaraka matamu.
 
Wameru ni wajanja hawawezi kuingia katika mtego huu wa mafisadi!, tutakula hela zao lakini kura kwa CHADEMA.

Emmani, Thanks Man. Elimu ya Uraia inatakiwa kwa wananchi wengi, hasa kipindi hiki.

Inabidi makamanda wa CDM - wengine waanze mikutano mingi kuelimisha.
 
Wazee ubunge nimeamin n dil moja kubwa sana!ninge kuwa mimi sioi nsinge jiingiza kwenye siasa za maji taka!ila walio mdang'anya itamgharimu,nimeangalia CV yake leo nka staajabu.then nkajiuliza huyu ndugu nn anataka zaid Amesoma LLB Uk,na jiwe lingine la rasimaliwatu ana nyazfa kibao sijui mwanashea CRDB nanyazifa zingne kibao.chakushangaza vpeperush hvyo havielez elimu y msng na sekondar kasoma wap.inge kuwa mimi kwa kupitia magamba ninge jipumzkia.
 
Ikumbukwe kuwa hakuna hata siku moja binadamu atatosheka na pesa. Huyo jamaa bado anatafuta pesa, kuna kitu anataka huko Meru ndo maana anataka kuweka mtu wake.

Ikumbukwe kuwa aliweka mtu wake Arusha mjini, ili ahamishe watu nyumba Kaloleni, ila Yule mbunge wa gamba aliyeomaliza muda wake, akamnyima. unafahamu ufalme upo cdm chungunza nafasi za uSijui hiyo kampuni ya dubai inayotaka kujenga pale kaloleni lijamaa lina share,

Kwa hiyo wameru muwe macho, msije kupewa hela na mkauza uhuru wenu na wa kizazi kijacho.

Nasikia wiki ijayo anakuja kuongea na washiri na kuwapa mihela, oyooooo

Naremndu!!

bunge viti maalumu ndesambulo ana mtoto na mjukuu,tundu lissu ana mdogo wake lakini mwanzilishi ama muasisi wa chama ni mzee mtei akaamua KUMWACHIA WAKE FREEMAN MBOWE
 
Back
Top Bottom