Wameona wapi hii watoto??

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
malezihayo.jpg


malezimema.jpg


Haya mambo ya Utandawazi ndio yana[pelekeza nchi kuchafuka, na inafikia mapaka watoto kukojolea msaafu nk.....
 
Bujibuji inabidi ukodishe chumba cha pili, maaana huu mpango wa kulala na watoto chumba kimoja si mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama miguu ya she inaning'inia? Hii picha ni kama imeunganishwa. Ngoja nichukue miwani ili niangalie vizuri
 
Mbona hiyo kinguonguo tulikuwa nayo hata sisi wa 1970s? Nothing new........au ahmkucheza baba na mama nyiye?
 
Back
Top Bottom