Wamarekani wameanza kuonja Machungu ya Vita ya URUSI vs Ukraine

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,599
3,647
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake.
zaidi soma hapa.
-----

President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to give Americans “just a little bit of breathing room.”

Biden on Wednesday admitted that “the gas tax holiday alone is not going to fix the problem,” but called on Congress to pass legislation for a three-month tax break.

“By suspending the 18-cent gas tax, federal gas tax for the next 90 days, we can bring down the price of gas and give families just a little bit of relief," he said in a speech from the White House.

Lawmakers have so far appeared unwilling to give his plan the green light.

The president also called on state governments to suspend their own taxes for the same period.

A handful of states including New York and Connecticut have already suspended fuel taxes. But some 46 states have yet to act.

Biden’s decision came as gas prices, averaging near $5 per gallon, had gone up almost $2 a gallon since the start of the war in Ukraine in February.

Critics have questioned the effectiveness of suspending the federal gas tax, dismissing the idea as an attempt by the White House and Democrats to show that they are attentive to the public’s financial pain.

Economists also criticized the proposal as a wasteful step on the part of the government.

Biden has already admitted that his administration is unlikely to be able to sufficiently reduce the cost of gasoline in the country in the short term.

The Democratic president placed an embargo on Russian oil earlier this year, shortly after Russian President Vladimir Putin declared a military campaign against Ukraine on February 24.

In addition to the oil embargo, Washington and its Western allies imposed unprecedented waves of sanctions on Moscow. The sanctions have sent the prices of grain, cooking oil, fertilizers and energy skyrocketing.

Biden blames Russia for high prices
Biden, who has increasingly tried to deflect criticism of his handling of the economy, once again on Wednesday blamed Moscow for the rising fuel prices.

"This is a time of war, global peril, Ukraine — these are not normal times," he said, addressing the oil companies, urging them to “bring down the price."

Responding to criticism from the Republican Party, the president also defended his actions regarding the war in Ukraine, including the highly disruptive sanctions on Russian energy exports.

“Are you saying that we would rather have lower gas prices in America and Putin’s iron fist in Europe?” Biden said. “I don’t believe that.”

Republican National Committee chairwoman Ronna McDaniel, however, dismissed the president's speech, saying, "No one is buying Biden's gimmicks, yet Americans are paying the price for his anti-US energy agenda."

Russia's president has previously described West's sanctions on his country as a double-edged sword.

Biden blames Russia for prices at the pump as he asks Congress to suspend gas tax
 
Huyu Bien chizi kweli, anamlaumu Mrusi wakati yeye ndiye aliyewek vikwazo na kususia mafuta na gesi ya Urusi.
Vikwazo vya nchi za Magharibi vimesababisha kupanda kwa mafuta karibu dunia nzima isipokuwa India na china kwa vile wao wanaendelea kununua mafuta toka Russia.
Aondoe vikwazo aone hali itakavyobadilika.
Kama vita mahali pake ni meza ya Mazungumzo, sio vikwazo.
 
Huyu Bien chizi kweli, anamlaumu Mrusi wakati yeye ndiye aliyewek vikwazo na kususia mafuta na gesi ya Urusi.
Vikwazo vya nchi za Magharibi vimesababisha kupanda kwa mafuta karibu dunia nzima isipokuwa India na china kwa vile wao wanaendelea kununua mafuta toka Russia.
Aondoe vikwazo aone hali itakavyobadilika.
Kama vita mahali pake ni meza ya Mazungumzo, sio vikwazo.
wanadhani karne hii ni ya mazezeta yaani vikwazo aweke yeye then lawama ziende kwingine. Mie hainiingii akilini hata yeye ila anaact tu.
 
Supa upawa analialia.aisee Dunia inaenda kwa Kasi sana.

Urusi inahusikaje na mfumuko wa Bei wa USA ilhali Urusi ndio iliyowekewa vikwazo vyote kabisa vya kiuchumi,kimichezo,kidiplomasia,kisiasa na Kila aina ya kutengwa.

Kama wa Marekani watalipokea hili jambo hivihivi ntaamini kabisa Hawa watu ni mazezeta.
Kwa vikwazo ilovyowekewa Urusi nilitegemea Leo hii Urusi iwe ombaomba na ghasia,lkini mambo ni tofauti Urusi mambo ni shwari kabisa.
Ndio Dunia Sasa ijue kua USA ni taifa la waongowaongo.
Mara
Iraq Ina WMD.
Urusi ametusababishia inflation,
Na majitu yanaamini TU
 
USA ANA UJAZO MKUBWA WA MAFUTA AKIWA WA KWANZA DUNIANI LAKINI HAJAYACHIMBA, ANANUNUA MIDDLE EAST NA RUSSIA.
KAMPUNI ZAO ZINACHIMBA KWA KIWANGO KIDOGO SANA.
Kwanini hizo Dollar billion 5O alizopoteza hadi sasa asingeweka mtambo achimbe kwake kama anayo hayo mafuta ya kuchimba?😂😂😂

Hebu angalieni na mambo ya kuandika jamani!
 
Supa upawa analialia.aisee Dunia inaenda kwa Kasi sana.

Urusi inahusikaje na mfumuko wa Bei wa USA ilhali Urusi ndio iliyowekewa vikwazo vyote kabisa vya kiuchumi,kimichezo,kidiplomasia,kisiasa na Kila aina ya kutengwa.

Kama wa Marekani watalipokea hili jambo hivihivi ntaamini kabisa Hawa watu ni mazezeta.
Kwa vikwazo ilovyowekewa Urusi nilitegemea Leo hii Urusi iwe ombaomba na ghasia,lkini mambo ni tofauti Urusi mambo ni shwari kabisa.
Ndio Dunia Sasa ijue kua USA ni taifa la waongowaongo.
Mara
Iraq Ina WMD.
Urusi ametusababishia inflation,
Na majitu yanaamini TU
Ni sawa na wewe uwe na akiba ya chakula ndani kwako kisha kila siku watoto wako hawakauki kudoea kwa majirani mida ya dochivele wanahakikisha inawakutia kwa majirani.

Halafu baba mtu ujisifie una akiba ya chakula ya kutosha ndani?
 
Upo sahihi kabisa ila demands iko juu , na USA amaongoza kwa reserve ya mafuta na hayajaguswa kwa sababu ya Sera zao.
Ila Bidden alitaka KAMPUNI za kupump mafuta ziongeze viwango vya juu.
 
Back
Top Bottom