Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Halloween ambayo huadhimishwa Oktober 31 kila mwaka ni siku maarufu ya uchawi na wachawi. Pengine sababu ya utamaduni wao, hata hivyo hileti maana kamili kwangu. Bughdha ni pale vijana wanapofanya uharibufu majira ya usiku kupita nyumba baada ya nyumba baada ya watotow adogo majira ya jioni kupita kila nyumba wakigonga milango kuomba zawadi ya pipi. Basi kila watu na tamaduni zao, ambacho kwetu ni kioja kwao ni funny.