Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe. Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "Delusion of grandeur", mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe. Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa, hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.