bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............................................!
Wana JF,
Kuna mambo tukiambiwa, si kutufurahisha au kutukana bali ni vile ukweli jinsi ulivyo, kupitia mnyama ambaye ni moja ya big 5 animals mwituni, na ule usemi kuwa ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba, ni kauli ya kweli kabisa, wapo watu wenye tabia hizo, wenye tabia kama za huyo tembo, ila tembo hasa dume mmmh..
Hebu nisikupotee mda nimekuadikia hiki ujue kuhusu mnyama tembo, ukimaliza JITAFAKARI
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.
2.Tembo anaukubwa wa tani 7
3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6.Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7.Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8.Umri wake wa kuishi ni miaka 60
9.Tembo anafanya mapenzi kwa masaa 12 masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mpenzi wake na 6 yanabaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
10.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO UWE UNAELEWA SIYO VIBAO VYAKO VYA NUSU SAA CHARI,HATA KIDUDE HAKIJAI AFU KILA SIKU UNATONGOZA DEMU MPYA PUMBAVUUUU,
zipu MBOVU,AKILI MBOVU,AFYA MBOVU@
wadau wangu wa nguvu niliowatag, nisaidieni kufikisha ujumbe