tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
wakuu nilitaka kufahmu hatua za kuchukua sisi wapigania uhuru wa tanzania dhidi ya wapola demokrasia waliyojaribu kupenyeza vituo hewa hamsini(50) kule narumeru kumbukeni chadema wasingekuwa makini vituo hivi vingetumika kupenyeza kura hata mia hamsini kwa kila kituo ingekuwaje? na hao jamaa bado wapo tume hatuoni kuwa ni hatari kwa 2015? sasa naombeni mawazo yenu wadau tuwafanyaje?