Waliomkamata mbowe ni wazalendo wa kweli

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
WALIOMKAMATA MBOWE HAWANA NIA NJEMA NA JK KWANI WAMEFANYA MAKUSUDI ILI KUHAKIKISHA CHADEMA INAPANDA CHATI KITAIFA NA KIMATAIFA,WAMEFANYA VILE KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA SERIKALI YA JK ,HESABU ZA HARAKA ZINAONYESHA SHILINGI BILIONI TANO
ZIMETUMIKA KUMKAMATA NA KUMSAFIRISHA MBOWE KWENDE ARUSHA NA LEO ATASAFIRISHWA TENA BUSINESS CLASS KULETWA DAR THEN WATAGHARAMIA SAFARI TYAKE YA DoDOMA,

POLE KWA JK KIKULACHO KI NGUONI MWAKO,
 
source please!! unajua maana ya Bilioni?
 
Weka hiyo gharama halisi, nadhani yeye ameweka mpaka hasara walioyopata wafuasi wa CDM kwa kuacha kufanya kazi na kukaa vikundi vikundi kujadili kukamatwa kwa Mwenyekiti wao.
 
nimeipenda idea yako ni kweli inawezekana CHADEMA wanacheza mchezo hapa ila bilioni tano mmh siamini aisee ni nyingi sana
 
Kama Hakimu alilimaliza kirahisi vile kwanini hakuweza kumkamata mdhamini wake na kumalizana nae badala ya kulifanya liwe kubwa namna hii hata Kamanda Kova unaongezaukubwa wa mambo bila sababu ya msingi Mimi sijasomea sheria hivi ingekuwaje pale Mbowe alipojisalimisha mkampakia ndani ya defender na polisi wawili mpaka Arusha bila shida wala Matangazo?Wanasheria nisaidieni kwa hili.
 
nimeipenda idea yako ni kweli inawezekana CHADEMA wanacheza mchezo hapa ila bilioni tano mmh siamini aisee ni nyingi sana

Tunahitaji fact siyo assumption. Tafadhali mwenye ushahidi atuwekee hapa
 
WALIOMKAMATA MBOWE HAWANA NIA NJEMA NA JK KWANI WAMEFANYA MAKUSUDI ILI KUHAKIKISHA CHADEMA INAPANDA CHATI KITAIFA NA KIMATAIFA,WAMEFANYA VILE KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA SERIKALI YA JK ,HESABU ZA HARAKA ZINAONYESHA SHILINGI BILIONI TANO
ZIMETUMIKA KUMKAMATA NA KUMSAFIRISHA MBOWE KWENDE ARUSHA NA LEO ATASAFIRISHWA TENA BUSINESS CLASS KULETWA DAR THEN WATAGHARAMIA SAFARI TYAKE YA DoDOMA,

POLE KWA JK KIKULACHO KI NGUONI MWAKO,

Huna vyanzo vizuri vya habari ni bora ukauliza.Mbowe Jana aliondoka hapa mahakamani mjini Arusha kwa kutumia gari lake(No.KUB)akiwa na Wabunge wenzake Zitto Zuber Kabwe,Halima Mdee na wengine ambao sikuwaona vizuri.Hiyo bilioni 5 ni hisia zako ambazo ni tofauti kabisa na uhalisia.Kweli gharama ni kubwa lakini haifiki bilioni 5.
 
Weka hiyo gharama halisi, nadhani yeye ameweka mpaka hasara walioyopata wafuasi wa CDM kwa kuacha kufanya kazi na kukaa vikundi vikundi kujadili kukamatwa kwa Mwenyekiti wao.

Kwani wanakazi wale? wenye kazi watashiriki kila kukicha kwenye maandamano?
 
Muwape Kazi, kwani mumeua viwanda, mashamba makubwa yaliyokuwa yanapokea wafanyakzi wengi mmeua mmebaki kusema maisha bora kwa kila mtanzania. Watakapo kuwa na kazi hawatakuwa na muda wa kwenda kwenye maandamano na hapo mtakuwa mmewapiga bao Chadema. Mimi nilikuwa na Kazi ilinibana nikashindwa kuhudhuria ingawa nilitamani sana kushiriki!
hebu tuache usanii jamani, CCM kwaheri! Nenda CCM!!!!
 
Huna vyanzo vizuri vya habari ni bora ukauliza.Mbowe Jana aliondoka hapa mahakamani mjini Arusha kwa kutumia gari lake(No.KUB)akiwa na Wabunge wenzake Zitto Zuber Kabwe,Halima Mdee na wengine ambao sikuwaona vizuri.Hiyo bilioni 5 ni hisia zako ambazo ni tofauti kabisa na uhalisia.Kweli gharama ni kubwa lakini haifiki bilioni 5.

Unashangaa nini wewe kwani hujui majambazi wa magamba wanavyojua kula kwa njia hizo pole wewe!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom