Waliokaribishwa EID MUBARAKA kwa KakaKiiza

Ngoja kwanza nimalizane na wageni then nakuja na familia yangu.....tuko saba tafadhali.....................LOL
 
KakaKiiza, nimekukubali, msosi heavy nimeinjoiiiiiiiiiiiiii eid oyeeeee

Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa waliofika ila kwa wale ambao hamkupata nafasi yakufika Eid pili nawangojea!!
 
Thanks KakaKiiza sikuona hii mapema maana nilikuwa nakula ndizi huko kusikofikika net..... Laaaaaaaaa nimemiss mengi! bado kuna masalia?
 
Last edited by a moderator:
Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
 
Thanks KakaKiiza sikuona hii mapema maana nilikuwa nakula ndizi huko kusikofikika net..... Laaaaaaaaa nimemiss mengi! bado kuna masalia?
Mkuu hakuna shaka karibu tugonge hata Valeur moja:eek2:

Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
Mkuu haina tabu sikuku zipo nyingi hata weeked ni siku kuu kaka nikujipanga karibu sana!
 
Ingawa hujanialika, sio mbaya.
Langu leo ni POLE SANA kwa yaliyokufika mkuu, nimepata taarifa this morning thru
E. Mambali wa Sinza Moli.
 
Ingawa hujanialika, sio mbaya.
Langu leo ni POLE SANA kwa yaliyokufika mkuu, nimepata taarifa this morning thru
E. Mambali wa Sinza Moli.
Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!
 
Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!
Ha ha ha,
Kumuona kwenye lile tatizo la 31st Aug au Mnuso wa EID??.
Anyway, kanihadithia story moja ya rafiki yake/yenu mmoja hivi ambae mlikua nae pale kwake nikacheka sana aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom