Walio tawaliwa na ccm mnaweza fika huko?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Kawaangalie wenye uongozi madhubuti wanavyo waokoa wenzao kwenye mgodi, si nyie mnao ahidi kununua meli iliyozama tangu 1977. mlipokuwa madarakani mbona hamkununua?, mnapoona mambo yanawaendea mrama mnatapatapa, mara bajaji, mara barabara hivi mlipokuwa madarakani nani aliwazuia hayo yote msiyafanye?.
in Google, vist, chilean miners rescue effort
 
Watanzania tutamani kuwa na viongi mahiri kama wa Chile.
 
Back
Top Bottom