Walinzi Wa Gadaffi

Gdafi mlafi kweli yani Manka 40 zinamlinda yeye tu...tena bikra....astaghafululah!
 
Aloo msijifanye hamjui, hawa bikra? sawa kwa kuwa ni waarabu inawezekana BIKRA MBELE, lakini hebu zunguuka MLANGO WA UANI BUHEERI!!!!
lakini mbona ni kawaida kwa jamii hii, unaona wengine ni wazee kabisa, na khalua unaiona nje nje? hebu msijifanye hamjui
 
Gadhaff kiboko yeye anapoteza umakini kwa maadui zake kwa kuwaweka wadada ambao wata vutia kuwatazama wao badla ya yeye
 
Warembo hawa najua watakamatwa wote na majeshi ya NATO na washirika wao wa waliopo Libya... hukumu ya kunyongwa mpaka wafe LAZIMA itapitishwa juu yao...

Mashirika yanayotetea wanawake yajiandae... kuwatetea.... mhhhhh....

Gaddafi wameshaua mtoto wako na wajukuu zako... there is no way you can remain in power... si umemwona Osama Bin Laden & Saddam... its your turn now...& your closest men/women

Nawasilisha
 
_45901857_woman_ap_1006.jpg


BAdo sijaelewa huyo mwanamke alimwelewaje Silvio na Silvio alimchukuliaje huyu mwanamke (bodyguard).
 
Muammar+el-Gaddafi+virgin+female+bodyguards+2.jpg

Muammar Gadaffi has 40-member bodyguard contingent, known as the Amazonian Guard, is entirely female. All women who qualify for duty supposedly must be virgins,
The Amazonian Guard is an elite group of 30-40 (reports differ) virginal women who are tasked with protecting the eccentric Muammar

Wana mvuto....... hivi hawa wanaweza kuua mtu atakaemvamia Gaddafi
 
Back
Top Bottom