Walimu watishiwa kufukuzwa kazi wasipotoa tsh. 15000 ya mwenge

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Walimu wametishiwa kuwa wasipotoa Tsh 15000 kwa ajili ya mwenge watafukuzwa kazi huko mkoani Mara ambapo kila mwalimu anatakiwa kuchangia kiasi tajwa kwa ajili ya mwenge.

NB
kwa mshahara upi mpaka tulazimishane kulipa hela kwa ajili ya mwenge kwanini serikali inawaonea walimu kiasi hiki.
 
Mkifukuzwa kazi mtakuwa mabilionea, mfukuzwe kwa sheria ipi? Nakushauri usitoe wakikufukuza nenda mahakamani kafungue kweli, na serikali kesi karibu zote huwa inashindwa. Waambie wakulipe fidia ya mil.100
 
Watoto wa bavicha akili zenu sijui huwa ziko wapi???

Kila mkikosa cha kuandika utasikia "Waalimu walazimishwa kwenda kwenye mwenge" mara "wanafunzi Arusha
walazimishwa kwenda kumpokea Kikwete"

Kwanini nyie Bavicha mnawadharau sana Waalimu,, kila anayekuja hapa JF anakuja na swaga za waalimu..Kulikoni???

Au target yenu ni Mwl. Kaijage??
 
Walimu wametishiwa kuwa wasipotoa Tsh 15000 kwa ajili ya mwenge watafukuzwa kazi huko mkoani Mara ambapo kila mwalimu anatakiwa kuchangia kiasi tajwa kwa ajili ya mwenge.
NB
kwa mshahara upi mpaka tulazimishane kulipa hela kwa ajili ya mwenge kwanini serikali inawaonea walimu kiasi hiki.

Hasante kwa taarifa lakini tamko hilo kalitamka nani na lini?
 
Walimu wametishiwa kuwa wasipotoa Tsh 15000 kwa ajili ya mwenge watafukuzwa kazi huko mkoani Mara ambapo kila mwalimu anatakiwa kuchangia kiasi tajwa kwa ajili ya mwenge.
NB
kwa mshahara upi mpaka tulazimishane kulipa hela kwa ajili ya mwenge kwanini serikali inawaonea walimu kiasi hiki.
Yaani kama wakikubali kutoa hiyo Tsh 15,000 watakua ni Mazombie, hii Nchi sometimes inahitaji watu wabishi kama Mchungaji Mtikila ili mambo yaende sawa.
 
Tatizo ni walimu wenyewe kutoumana kama meno ya mbwa
 
Watoto wa bavicha akili zenu sijui huwa ziko wapi???

Kila mkikosa cha kuandika utasikia "Waalimu walazimishwa kwenda kwenye mwenge" mara "wanafunzi Arusha
walazimishwa kwenda kumpokea Kikwete"

Kwanini nyie Bavicha mnawadharau sana Waalimu,, kila anayekuja hapa JF anakuja na swaga za waalimu..Kulikoni???

Au target yenu ni Mwl. Kaijage??

usiongee usichokijua
sio kila kitu siasa
MTWARA walimu wameambiwa waandika barua za kujieleza kwa nini hawajakesha kwenye mwenge sijui namna ya kuambatanisha nngeweka hapa
 
Hivi haya ni ya kweli jamani?mi siamini na hata kama ni kweli basi hao walimu sio wakina mwita,chacha,....
 
wazushi hao wamekosa cha kuandika....si uandike hata habari za mapenzi kama nyimbo za bongo flaver
 
Walimu ni walimu wetu,,ila mie naonaga kama ni mabwege hivi,maana kila unyonyaji ni wao tuu! Samahani kwa atakaye boreka.
 
Hyo mbona ipo mara huko huko wilaya wameambia watoe mia 5 na mwanza wilaya moja wameambiwa watoe elfu 2 na wanapewa risiti..huu mwenge sijui hata faida yake.
 
Walimu wametishiwa kuwa wasipotoa Tsh 15000 kwa ajili ya mwenge watafukuzwa kazi huko mkoani Mara ambapo kila mwalimu anatakiwa kuchangia kiasi tajwa kwa ajili ya mwenge.
NB
kwa mshahara upi mpaka tulazimishane kulipa hela kwa ajili ya mwenge kwanini serikali inawaonea walimu kiasi hiki.

so wanaoambiwa kuchangia hiyo pesa ni walim tu?watumishi wengine hawajaombwa huo mchango?
 
Wawafukuze kazi kwa lipi

Yaan hata kama hakuna wakuwatete

Hiyo ni big NO

Embu amken walimu wa mara khaaa
 
Watoto wa bavicha akili zenu sijui huwa ziko wapi???

Kila mkikosa cha kuandika utasikia "Waalimu walazimishwa kwenda kwenye mwenge" mara "wanafunzi Arusha
walazimishwa kwenda kumpokea Kikwete"

Kwanini nyie Bavicha mnawadharau sana Waalimu,, kila anayekuja hapa JF anakuja na swaga za waalimu..Kulikoni???

Au target yenu ni Mwl. Kaijage??

muda mwingine huwa unajiongeza mkuu,hivi suala la kulazimishwa kuchangia mbio za mwenge kwa upande wa walimu limeanza leo?sipo kichama bt nakushauri ujaribu kufanya uchunguzi kidogo kuhusiana na hili,vipi hukulisikia lile tukio la kule Mtwara au unaamua kuziba masikio makusudi?
 
Back
Top Bottom