Walimu wa taifa(chadema) kuunguruma tabora jumamosi hii

kapya

Senior Member
Oct 5, 2012
153
54
Wana jf uzinduzi wa m4c kanda ya magharibi mkoani tabora kufanyika wiki hii baada ya kuahirishwa mara kadhaa,taarifa rasmi zimetolewa na mwenyekiti wa chadema mkoa wa tabora bw.kansa mbarouk wakati akihutubia mkutanoni jana maeneo ya stendi ya zamani hapa mkoani tabora.mkutano huo unatarajiwa kufanyika maeneo ya viwanja vya chipukizi.viongozi wa kitaifa kama vile mbowe,slaa,mnyika,heche,mdee,zitto,arfi,sugu,kiwanga na wenje wataongoza mkutano huo,mwambie na mwenzio cdm daima ,poples power daima
 
Back
Top Bottom