Walimu ukombozi wenu ni 2015, basi!

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Mna uwezo wa kuleta mabadiliko 2015. huko mlipo vijijini kila mmoja wenu akipata nyumba 100 kuanzia leo akapata kura zake kwa chama kitakachoonekana kujali maslahi yenu, then ukombozi tayari. vinginevyo mtadharauliwa, mtalipwa laki 240,000Tsh mpaka ahara kama sio jahanamu!
Mahakama hampati chochote, si mnaona yale yale ya madaktari.
 
Well said mkuu,silaha wanayo ila wananyanyasika sana!!Shauri yao bhana wakileta masikhara 2015 imekula kwao,watauza ubuyu mpaka wachakae!!!!!Magamba yanawadharau kama mavi!!!
 
Back
Top Bottom