Wale Wazee wanaonesha kiholela Nyoka katika Ukuta wa Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko Ilala wana Vibali? Na je, ni sahihi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Na ni kwanini huwa wanakuwa na Mikwara na Vitisho sana kwa Watazamaji ambao huwa Wanawashtukia Uwongo, Ushirikina na Uganga wao?

Kwa mfano wakikuona unawatizama kwa Jicho Kali na la Kidadisi (lenye UMOSSAD UMMOSAD ) kama la GENTAMYCINE wanakufukuza?

Na kwanini huwa Wanawabagua akina Dada / Wanawake katika Kuwatizama?

Na kwanini huwa wanasema kama Wewe unajijua ni Mchawi au unafuga Majini usiangalie wanachokifanya?

Na kwanini kila Wakianza kuwaamrisha hao Nyoka wao kwa Kuwaimbia na Kuwapigia Manyanga hao Nyoka hawawapi Ushirikiano?

Je, Usalama wa Nyoka wao wanaowabeba Kiholela katika Mifuko yao na Watu ( Watazamaji ) wa pale au huko Wanakokwenda ( hasa wakipanda DalaDala ) za Kurejea Makwao upoje?

Na kwanini 100% ya Watu ( Watazamaji ) wanaokuwa mbele huwa ni Wenzao (. Washirika ) wao, ila huwa hawataki Kujulikana hivyo mpaka uwe na Akili Kubwa za Ndege Tai ( Eagle ) tulizonazo Wanadamu wachache duniani tunaowatambua upesi baada ya Kusoma Mazingira na Kuwasoma na Wao pia?

Na kwanini ukiwa unatizama Wakifanyacho ukiweka Mikono yako Mfukoni au Ukisimama Kiupande Wanakufukuza na ukifanya Mchezo na Tusi la maana linakusindikiza huko uendako?

Kesho GENTAMYCINE naenda tena kwani wamesema watakuja na Nyoka Wawili Chatu na Swila na baadae GENTAMYCINE nitawaomba Waniazime hao Nyoka ili huyo Chatu nikawakabidhi Watu wa Simba SC na yule Swila nikawakabidhi Watu wa Yanga SC ila akina Wydad FC na Medeama Wafe wote kwa Mkapa tarehe. 19 na 20 za Desemba hii ya 2023.
 
mimi nyoka wangu yupo kwenye suruale bhana!!
 
Back
Top Bottom