Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Jamani watanzania katika topic hii tuanze kuweka taharifa za ukwepaji kodi kwenye thread hii ili wananchi watambue tunaibiwa kiasi gani na TRA ni wazembe kiasi gani, kwa kuanza tu

1.kuna duka moja ukonga la abdalah hussein halitoi risiti kwa wateje

2.kampuni ya airtel wanakwepa kulipa kodi kwa kuendelea kutumia vocha za zain ambazo muda wake umeisha(expiry) kwa mfano mimi nimetumia vocha serial no 3101115057667 ambayo inaonyesha expiry muda wa kuisha matumizi ni 31-o1-2011 hii inamaana vocha hii haiko kwenye control yeyote ya TRA
 
sasa walipe kodi ya nini wakati hatuna serikali?,kwa sasa kila mtu anaangalia maisha yake
kesho ataishi vipi kuliko kuangalia uzalendo kwa serikali kimeo kama hii ya magamba
 
sasa walipe kodi ya nini wakati hatuna serikali?,kwa sasa kila mtu anaangalia maisha yake
kesho ataishi vipi kuliko kuangalia uzalendo kwa serikali kimeo kama hii ya magamba

duh mheshimiwa serikali hipo lakini ni legelege isingekuwepo lingekuwa tatizo lingine
 
hapo Samora kuna duka la mhindi limepakana na duka la Magereza hufunguliwa kimachale machale

mchana kuanzia saa 7 ndio linakua wazi

na anafungua baada ya muda kidogo afunga, then ikipita muda kidogo afungua tena

madalali wote nchini hawalipi kodi
 
Naona waache wakwepe kodi maana ata wakilipa ndo zaenda ongeza maV8 pamoja na posho
 
Mnaongelea maduka??tunataka muongelee maviwanda!makampuni makubwa ya migodi.

kaka hapa sio kuwa tuna taharifa zote bali yeyote mwenye taharifa anaziweka ubaoni hapa kama una taharifa yeyote karibu iweke ubaoni
 
Mnaongelea maduka??tunataka muongelee maviwanda!makampuni makubwa ya migodi.

kuchanganya siasa na biashara kumekata makali ya ukusanyaji kutoka wafanyabiashara wakubwa

migodi, NG'O na mashirika ya dini bunge na serkali walisaidia kulobi kwenye sheria zetu
 
CCM Waliingiza magari 270
Hawakulipa hata thumni yaliletwa mahindra na noble motors inasemekana hawakulipa!na mtrekita ya Suma jkt?
 
CCM Waliingiza magari 270
Hawakulipa hata thumni yaliletwa mahindra na noble motors inasemekana hawakulipa!na mtrekita ya Suma jkt?

Toka lini matrekta yameanza kulipiwa ushuru Tanzania? Kama huelewi, matrekta hayana ushuru Tanzania.
 
Nilidhani hapa kuna orodha ya mapapa kumbe tunataja vidagaa?

Laiti tungeanza na wale ambao kodi ya mwezi wanayokwepa inatosha kujenga zahanati kama 20 au sekondari za kata kama 3 kwani hao ndio wanaua mama zetu na wake zetu wanaokosa mahali pa kijifungulia. Tukimalizana na hao tunaweza kurejea kufyeka fyeka hayo majani i.e wale wanaoiba pesa hata zisizotosha kununua panadol kwa siku!!
 
kaka hapa sio kuwa tuna taharifa zote bali yeyote mwenye taharifa anaziweka ubaoni hapa kama una taharifa yeyote karibu iweke ubaoni

Samahani bro naomba nikukumbushe kiswahili sanifu, inaitwa TAARIFA sio TAHARIFA..................... naunga mkono hoja 100% kwa 100%
 
Mnaongelea maduka??tunataka muongelee maviwanda!makampuni makubwa ya migodi.
<br />
<br />
Si ndio upumbavu wa watanzania,wanaangalia watu wenye mitaji ya nyanya wakati wenye viwanda,migodi wanaachwa bila hata kufatiliwa,kama kweli wanania waanze na wakubwa ndipo waje kwa wadogo.
 
duh mheshimiwa serikali hipo lakini ni legelege isingekuwepo lingekuwa tatizo lingine

kaka ukiwa na bunduki halafu haina risasi na upo vitani utasema una siraha? labda kama hujui vita. tz hatuna
serikali wala rais. bila shaka wewe ni baba au unaelekea huko. sasa fanya hivi... kila siku nenda kushinda kwa
majirani zako, tena wahi asbuhi ukawaamshe ukianzia na housgl,lala huko nk, fanya hivo several times uone
watoto zako watakavyokuwa wanataniwa na wenzao mitaani. halafu utajiita na wewe una familia. baba hajitambulishi.narudia tena mkuu
tz hatuna serikali, ila tuna jamaa ambao wamefanya maskani yao magogoni
 
Back
Top Bottom