Wakuu sijalala macho yanavuta, Naomba msaada

moyochuma

Member
Oct 27, 2022
25
29
Samahani naomba kuuliza nina tatizo ambalo lilianza mwaka jana,

Usiku nilipokua nimelala nilistuka nikiugulia macho yanauma sana...Nilipoenda hospital nikaonana na doct wakanichek pale, wakanitaka nisome maandishi nikasoma vizuri, nikaambiwa huenda nikawa nina tatizo la macho ikanibii nichukue miwani, sasa tatizo ni kwamba hili jambo hua alitokei kila mara.

Yaani tokea mwaka jana jana ndo limenirudia wakuu sijalala macho yanavuta balaah ikabidi nilale na miwani....Yaani mpaka muda huu nimevaa miwani lakini macho bado yanavuta..

Sasa swali ni kwamba je hili ni kwangu au hata wengine? Au nitakuja na shida ingine niende msasani jamaniii maumivu nayopata usiombee.

 
Back
Top Bottom