Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

asante mkuu!kumbe alikuwa wizara ya fedha!kwa hivyo alikuwa anatupangia mipango 5 years ago leo hii tumuamini kwa kutupangia mpango wa coming 5 years.haya bana mi yangu macho.

Mkuu hebu funguka coz kama una kitu unataka kusema lkn unasita, hata kuomba CV yake siyo kwamba ulishindwa kuipata ila kuna ujumbe unataka kufikisha lkn bado, hebu funguka zaidi
 
Ni huyu mteule Kamishna mpya wa TRA. Ama kwa hakika Jamii Forums ni sheeda, ina data za kila mtu!

data zingine kama hizi zipo online tu. ni wewe kuzi search. by the way jf ni kisima cha elimu. waliopo humu pia ni pottential resources. hakuna swali lisilojibiwa hapa. tena kwa ufasaha. im so grateful with this site.
 
Mkuu hebu funguka coz kama una kitu unataka kusema lkn unasita, hata kuomba CV yake siyo kwamba ulishindwa kuipata ila kuna ujumbe unataka kufikisha lkn bado, hebu funguka zaidi

Mkuu sensor kuna muda huruhusiwi kufunguka saana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom