Wakubwa shikamooni Wadogo marhaba!

Userne

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
892
124
Desturi inatufundisha ukimkuta mtu shambani kwako kang'oa muhogo na anautafuna sio mwizi bali ana njaa.
ukimkuta kang'oa muhogo kaufunga vizuri na kajitwisha ni mwizi anastahili mawe.
Nina njaa na kiu ya maarifa kutoka kwenu wana Jf.
Ninapo kosea mnikosoe.
inawezekana nikawa nang'oa muhogo kwa ajili ya njaa na ukanipiga mawe kwa kufikiri ni mwizi.
heri usubiri uone atakaa atafune au atafunga ajitwishe!
Naomba mnipokee kama nilivyo.
Asanteni Uongozi woote na members wa Jf.
 
shikamoo karibu sana tunategemea mchango wako chanya
 
Desturi inatufundisha ukimkuta mtu shambani kwako kang'oa muhogo na anautafuna sio mwizi bali ana njaa.
ukimkuta kang'oa muhogo kaufunga vizuri na kajitwisha ni mwizi anastahili mawe.
Nina njaa na kiu ya maarifa kutoka kwenu wana Jf.
Ninapo kosea mnikosoe.
inawezekana nikawa nang'oa muhogo kwa ajili ya njaa na ukanipiga mawe kwa kufikiri ni mwizi.
heri usubiri uone atakaa atafune au atafunga ajitwishe!
Naomba mnipokee kama nilivyo.
Asanteni Uongozi woote na members wa Jf.

Karibu jamvini. Lakini nauliza kuna provision kwenye penal code ambayo inatoa ruksa kuingia shambani kwa mtu ukatafuna mihogo yake na ukatoa defence ya njaa? CUSTOMARY LAW HAIRUHUSIWI KU-TRY/PROSECUTE CRIMINAL OFENCES. KARIBU JAMVINI.
 
Asante Mkulu.
Kisheria ni makosa!
Kimazingira inategemea na hakimu.
Sheria inatakiwa imsaidie mwanadamu, na si kumuangamiza.
Shukrani kwa kunikaribisha.
 
Desturi inatufundisha ukimkuta mtu shambani kwako kang'oa muhogo na anautafuna sio mwizi bali ana njaa.
ukimkuta kang'oa muhogo kaufunga vizuri na kajitwisha ni mwizi anastahili mawe.
Nina njaa na kiu ya maarifa kutoka kwenu wana Jf.
Ninapo kosea mnikosoe.
inawezekana nikawa nang'oa muhogo kwa ajili ya njaa na ukanipiga mawe kwa kufikiri ni mwizi.
heri usubiri uone atakaa atafune au atafunga ajitwishe!
Naomba mnipokee kama nilivyo.
Asanteni Uongozi woote na members wa Jf.

........userne.................karibu,..tena karibu sana wewe pamoja na njaa yako na hiyo mihogo uliyochimba bila idhini..........humu kuna kila kitu hata maji ya kunywea hiyo mihogo........................kama ni shamba humu hakuna mipaka ni wewe tuuu...................,ukitaka ya mihogo ya kujitwisha ipoooooooooo.................................mawe pia yapo ya kila aina, ......................utapigwa si tu na mawe na mihogo,utaitwa si tuu mwizi, bali hata kufukuzwa............................................ endapo utakiuka miiko..........................................fuata kanuni, taratibu na mengi utayaona kama una machooooooooo....................michango yako ni muhimu sana na inahitajika sana,karibu tena userne................................................. jisikie uko shambani kwako tena huru ukiwa umekalia jiwe na kipande cha muhogo unatafuna taratibuuuuuuuuuuuuuuuuu,mihogo bwerere............mihogo mitaamu,mitamu sanaaaaana.......................,karibu jf,nashukuru kwa salamu MARAHABA mdogo wangu
 
Back
Top Bottom