Wakristo wa leo wangekuepo wakati wa Yesu Kristo, bila Shaka wangekua mstari wa mbele kumsurubisha Yesu Kristo

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,869
3,492
Hawa ni wakristo ambao wamekua wakiipinga waziwazi Kazi ya Yesu Kristo, hawana umoja kazi yao ni kunyoosheana vidole wakimponda mtumishi fulana au dhehebu fulani. Mfano mzuri ni wakristo walioamua kutumiwa na BBC kuuvuruga mwili wa Kristo.

Wakristo mjiulize. Ni lini mliwaona au kuwasikia Waislam, Wahindu, Wabudha n.k wakipondana na kukashfiana wao Kwa wao hamjiulizi TU kwanini ni nyinyi wakristo ndio mnapondana hamuoni kama mnatumika?!.

Leo utasikia wasabato wanawasema vibaya wakatoriki, wachungaji wanashambuliana, manabii wanasemana vibaya kwamba huyu ni washetani huyu ni WA Yesu n.k BADIRIKENI.

Huyo mhubili (RIP) aliyeanzishiwa documentary na BBC huku mashahidi wakiwa ni wakristo wenzake nadhani anaweza akawa ni mhubili aliyeshambuliwa kuliko mhubili yoyote katika karne hii. N.B. ZA KUAMBIWA MCHANGANYE NA ZA KWENU.
 
Si bure wewe ni Nabii au Mtume wa uongo

Usifikiri mtawaburuza watu wote kama wale wa miaka ya 47

Sio wote ni wajinga waliwao, watu waende kinyume na Biblia na kujiinua na kutukuza majina yao badala ya Mungu halafu tuwapelekee tu sadaka

Tafuta Wajinga waliwao
 
Hajashambuliwa amekashfiwa. Kashfa zinakuja na sababu flani/ushahidi fulani.

Kihistoria yesu alikua mhubiri flani tu hakutenda miujiza yeyote, hakupaa kwenda popote. Ukristo ni uongo mmoja mkubwa sana.

Mungu angekuwepo kusingekua na madhehebu, angewanyooshea maelezo
 
Hawa ni wakristo ambao wamekua wakiipinga waziwazi Kazi ya Yesu Kristo, hawana umoja kazi yao ni kunyoosheana vidole wakimponda mtumishi fulana au dhehebu fulani. Mfano mzuri ni wakristo walioamua kutumiwa na BBC kuuvuruga mwili wa Kristo.

Wakristo mjiulize. Ni lini mliwaona au kuwasikia Waislam, Wahindu, Wabudha n.k wakipondana na kukashfiana wao Kwa wao hamjiulizi TU kwanini ni nyinyi wakristo ndio mnapondana hamuoni kama mnatumika?!.

Leo utasikia wasabato wanawasema vibaya wakatoriki, wachungaji wanashambuliana, manabii wanasemana vibaya kwamba huyu ni washetani huyu ni WA Yesu n.k BADIRIKENI.

Huyo mhubili (RIP) aliyeanzishiwa documentary na BBC huku mashahidi wakiwa ni wakristo wenzake nadhani anaweza akawa ni mhubili aliyeshambuliwa kuliko mhubili yoyote katika karne hii. N.B. ZA KUAMBIWA MCHANGANYE NA ZA KWENU.
Kwanza angeshanga kuona papa wa RC ana bariki ndoa ya jinsia moja.
 
Si bure wewe ni Nabii au Mtume wa uongo

Usifikiri mtawaburuza watu wote kama wale wa miaka ya 47

Sio wote ni wajinga waliwao, watu waende kinyume na Biblia na kujiinua na kutukuza majina yao badala ya Mungu halafu tuwapelekee tu sadaka

Tafuta Wajinga waliwao
Sina unabii Wala utume wowote

Mimi ni mkristo wa kawaida na inawezekana wewe ni mkristo mwenzangu.
 
Back
Top Bottom