Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,980
- 95,498
Kwa hiyo huyo binti asingekuwa fundi nguo; ungetoa hicho kiasi?mkuu nikili kwamba ulicho ongea ni ukweli mtupu, mwaka 2017 nilitaka kuoa na nilikuwa na mahusiano na binti fulani hivi ambaye alitoka kijijini alipo fija mjini nikambrashi na mitoko,pamba hata pesa, maana nilikuwa na kijiajira, baada ya kwenda kuuliza mahari kwa tetesi tu bila ya mshenga nikaambiwa milioni 1.8.
Basi nikapotezea hapo binti kashanawili uno snura wana wakaanza mtamani mara wakapita naye me nikajiweka kando.
Mwaka jana nilitokea kumpenda mdada mwingine nikasema round hii siwekezi kwa binti basi kumudokezea muhusika swala la posa kuuliza wazazi walizi na sio wa kumzaa wakamwambia bila milion 2.3 asisubutu kusogea hapa tutamuaibisha, harafu demu fundi nguo tu, aisee ilinibidi ninyooshe mikono,
Ukweli wakristo batmdo tunashida ya tamaa inayotusumbua