Duh!Kama wameshaanza kuondoa pesa,basi wamechemka zaidi kwasababu zitafuatiliwa tu...Tena hizo benki tunaweza kuanza kuzibana kwa sasa.Waberoya said:Kibaya na chakutisha, benki za nje zimeendela kupokea fedha nyingi zenye majina ya vigogo pasi kuficha
Duh!Kama wameshaanza kuondoa pesa,basi wamechemka zaidi kwasababu zitafuatiliwa tu...Tena hizo benki tunaweza kuanza kuzibana kwa sasa.
Mbona walizibana za Gaddafi?
Double standard ama?
Duh!This is unbeliavable,ebu niapatie hiyo email mkuu kama ukiweza.Ndiyo mkuu, kuna mtanzania ambaye yuko ughaibuni, ameandika e-mail kuwa kasi imeingezeka na wengi wa vigogo wanaandika majina ya watoto wao ambao wengi wako ulaya.
Ilikuwa inapita miezi mpaka 3 kukuta account ya watanzania ina fedha ambazo si za ada na wale wanaofanya kazi huko kiserikali
sasa hivi rate imeongezeka kwa mwezi wa kumi pekee ni watanzania vigogo 8 ambao account zao zimejaa fedha nzuri ambazo sababu zako ni 'personal'
ndiyo tutazirudisha , tutazichukua....lakini iwe sasa , tusijifanye sana hatupendi vita wakati maisha yetu ya kupata ugali kila siku ni vita kamili!
Hakika kazi wanazofanya zimewajenga sana na kupata support ya umma. Hata hivyo wanatakiwa kuwa waaangalifu sana wasije kupoteza imani ya umma. Kauli za kina Selasini kutaka kujiongezea mishahara na posho bila kujali hali ya wapiga kura wao si za kujenga. Waangaliwe sana kwani walau kiongozi wa CDM alishatoa msimamo bungeni kuhusu posho na mishahara.well said mkuu...but how?
maana hawa tulio nao hawa (the sugu's & lema's of this world) ambao mimi naona walau wanajitahidi kutuonyesha kitu fulani kivitendo tunaishia kuwaponda na kuwa-brand eti ni "opportunists", vilaza, name it!
tunaweza tusikubaliane na methods zao lakini kama wanachokifanya kina uwezo wa ku-ignite some kind of uprising against the corrupted establishment (you have correctly cited recent Mby & Arusha incidents - i think unajua kibri yao wameitoa wapi hawa watu!), why not give the credit where it is deserved?
unafiki uko kwa sababu ya post yangu? au kwa sababu unanifahamu? angalia usisomeke kuwa ww ndiye!
Umeona ee!!Waberoya Kwa unafiki hajambo ati!
Yeap, kama kuna uwezekano warudisheni tu wakoloni. Mtu mweusi hawezi kujitawala.