Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Ngoma inogile:

View attachment 2677538

Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.

View attachment 2677540

Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
 
Ukiwasikiliza baadhi ya wanaCCM hawa wa enzi ya Rais wa sasa, huwezi kuamini kama ndio hawa hawa aliowaacha Magufuli. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walitaka kutoana meno na watu kisa Makinikia. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walikuwa wakiwaita wazungu mabeberu.

Nimesema baadhi kwasababu nafahamu WanaCCM wengi sana ambao wapo kinyume na huu ujinga wa kuwapa bandari waarabu!
 
Kweli watu wanabadilika kutokana na mazingira aisee
 
Ukiwasikiliza baadhi ya wanaCCM hawa wa enzi ya Rais wa sasa, huwezi kuamini kama ndio hawa hawa aliowaacha Magufuli. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walitaka kutoana meno na watu kisa Makinikia. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walikuwa wakiwaita wazungu mabeberu.

Nimesema baadhi kwasababu nafahamu WanaCCM wengi sana ambao wapo kinyume na huu ujinga wa kuwapa bandari waarabu!
Utamu wa kupewa LC 300 series zero kilometa siyo mchezo, watu ni mwendo kujizima data
 
Chawa wanapo chachawa ifahamike hawana pa kujificha. Penye upara chawa anajificha wapi?

Kwa sasa kaeni kwa kutulia huo mkataba mta unsign!
Kisa wew tu na matakwa yako? Haturudi nyuma tunasonga mbele mzee
 
Ukiwasikiliza baadhi ya wanaCCM hawa wa enzi ya Rais wa sasa, huwezi kuamini kama ndio hawa hawa aliowaacha Magufuli. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walitaka kutoana meno na watu kisa Makinikia. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walikuwa wakiwaita wazungu mabeberu.

Nimesema baadhi kwasababu nafahamu WanaCCM wengi sana ambao wapo kinyume na huu ujinga wa kuwapa bandari waarabu!
Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
 
Wengi ni wajinga, hasa vijana na ndio maana hata viongozi wanapata nguvu ya kuwadanganya eti walichosaini sio mkataba ni makubaliano tu, mikataba inafuata. Tangu lini Bunge likawa na mamlaka ya kuridhia makubaliano?
 
Back
Top Bottom