Wakili Mligo: Katiba ya sasa ni mbovu

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Akifafanua kwa waandishi wa habari mjini Njombe,Wakili Mligo amesema katiba ni mbovu kwasababu Rais analindwa na katiba inayompa mamlaka yakutokulazimika kutendea kazi ushauri wowote kwa wasaidizi wake asipopenda.

Amefafanua kuwa Katiba ya maoni ya Warioba iliondoa kipengele cha kinga kwa Rais

Je, kuna haja na umuhimu wakukaa meza moja na vyama vya siasa nchini
 
Sio vyama vya upinzani tu, Bali jamii mbalimbali zote za watanzania. Vyama vya siasa vinaweza visiwe na majibu kwa changamoto za watanzania wote, lakini katiba inapaswa kuwa na majibu au kutoa muongozo wa majibu hayo.
 
Jaji Warioba alikwisha fanya yote hayo, ni sasa ni wakati wa kubariki katiba iliyopendekezwa na Warioba!
 
Kizazi cha sasa hatuwezi ongozwa na katika iliyokufa.Ccm inaendesha nchi kwa mawazo ya miaka ya 70 enzi za ujamaa,hali kizazi cha sasa kina global thinking.
 
Back
Top Bottom