Wakili maarufu Arusha Matatani kwa kuendesha Dangulo la Ngono .

Wakili Maarufu jijini Arusha,Bariki Lyimo Mkazi wa Moshono jijini hapa,ameingia kwenye kashfa nzito akituhumiwa kuendesha dangulo la ngono katika Lodge yake ya XO iliyopo kaloleni jijini Arusha kinyume cha sheria.

Lodge hiyo ambayo ina sehemu ya Bar awali ilijulikana kwa jina la Shivazi na baadaye wakili huyo alipangisha na kuibadili jina ambapo kwa sasa inajulikana kwa jina hilo la XO Lodge anadaiwa kuwa na vyumba vya kuuza dada poa kwa gharama ya sh,25,000 kwa siku.

Wakili huyo wa kujitegemea anadaiwa kuendesha biashara hiyo haramu ya Madada poa pasipo kuzingatia heshima ya taaluma yake aliyonayo ya uwakili aliyoaminiwa na mahakama ambapo amekuwa akijipatia kupato kupitia biashara haramu baada ya kazi ya uwakili kukosa soko .

Tukio la kustaajabisha ambalo limetokea hapo Jana majira ya saa nne Asubuhi ,Msichana mmoja anayefanyabiashara ya kujiuza katika Lodge hiyo ambaye jina lake hakikufahamika Mara moja alinusurika kifo baada ya kupigwa chupa na wenzake waliopanga katika Lodge hiyo iliyopo mkabala na bar maarufu ya Picnic iliyopo kaloleni jijini Arusha.

Kwa mujibu wa meneja wa Lodge hiyo aliyefahamika kwa jina Moja la Emmanuel alikiri kuendesha biashara haramu ya kuuza dada poa ambao amewapangisha katika vyumba vitano vilivyoko katika Lodge hiyo kwa makubaliano ya kulipa sh,25,000 kwa kila mteja.

Meneja huyo alipoulizwa alidai kwamba bosi wake(Wakili)ndio ameruhusu biashara hiyo ifanyike kwani kwa sasa biashara ya bar sio nzuri kutokana na ugonjwa wa Corona kushamiri.

Inadaiwa kuwa katika Lodge hiyo dadapoa hao kutoka mikoa mbalimbali nchini na nchi jirani ya Kenya wamekuwa wakifanya kila aina ya ufirauni ikiwemo uuzaji wa dawa za kulevya pia kuwalewesha wateja wao na kuwaibia huku uongozi wa Lodge ukifumbia macho.

Licha ya polisi kufika eneo la tukio na kuondoka na changudoa mmoja aliyekuwa amepasuliwa vibaya kwa chupa na wenzake ,dadapoa wengine waliendelea na vurugu wakituhumiana kuibiana wanaume na kusababisha uharibifu mkubwa katika Lodge hiyo baada ya eneo la bar kutapakaa damu na chupa zilizokuwa zimezagaa eneo la ndano ya bar hiyo.

Jeshi la polisi mkoani Arusha limeombwa kuingilia kati na kumchukulia hatua kali Wakili huyo kwa kosa la kuendesha dangulo kinyume na maadili ya nchi.

View attachment 1455908View attachment 1455909View attachment 1455910View attachment 1455911View attachment 1455912

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata yako ww banyamulenge, ya ngoswe mwachie ngoswe, wivu, roho mbaya kama ID yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu akajieleze mwenyewe huko mbinguni kwa Mungu wake, na wengine hawaamini kuhusu dini, kama mtu hajabakwa waacheni wauziane starehe.
Mimi nadhani labda angeleta tu habari kwamba kumetokea ugomvi kwenye hiyo Night Club. Lakini mambo ya machangudoa siyo biashara bali ni nyongeza ya hizo Nigh Club. Kama ndani ya hiyo Night Club kuna "Guest House" unategemea changudoa anayekubali atapelekwa wapi kama siyo kwenye hiyo Guest House?
 
Ramadhan si inaisha hii labda ncmkute
Screenshot_20200521-203226_WhatsApp.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakili Maarufu jijini Arusha,Bariki Lyimo Mkazi wa Moshono jijini hapa,ameingia kwenye kashfa nzito akituhumiwa kuendesha dangulo la ngono katika Lodge yake ya XO iliyopo kaloleni jijini Arusha kinyume cha sheria.

Lodge hiyo ambayo ina sehemu ya Bar awali ilijulikana kwa jina la Shivazi na baadaye wakili huyo alipangisha na kuibadili jina ambapo kwa sasa inajulikana kwa jina hilo la XO Lodge anadaiwa kuwa na vyumba vya kuuza dada poa kwa gharama ya sh,25,000 kwa siku.

Wakili huyo wa kujitegemea anadaiwa kuendesha biashara hiyo haramu ya Madada poa pasipo kuzingatia heshima ya taaluma yake aliyonayo ya uwakili aliyoaminiwa na mahakama ambapo amekuwa akijipatia kupato kupitia biashara haramu baada ya kazi ya uwakili kukosa soko .

Tukio la kustaajabisha ambalo limetokea hapo Jana majira ya saa nne Asubuhi ,Msichana mmoja anayefanyabiashara ya kujiuza katika Lodge hiyo ambaye jina lake hakikufahamika Mara moja alinusurika kifo baada ya kupigwa chupa na wenzake waliopanga katika Lodge hiyo iliyopo mkabala na bar maarufu ya Picnic iliyopo kaloleni jijini Arusha.

Kwa mujibu wa meneja wa Lodge hiyo aliyefahamika kwa jina Moja la Emmanuel alikiri kuendesha biashara haramu ya kuuza dada poa ambao amewapangisha katika vyumba vitano vilivyoko katika Lodge hiyo kwa makubaliano ya kulipa sh,25,000 kwa kila mteja.

Meneja huyo alipoulizwa alidai kwamba bosi wake(Wakili)ndio ameruhusu biashara hiyo ifanyike kwani kwa sasa biashara ya bar sio nzuri kutokana na ugonjwa wa Corona kushamiri.

Inadaiwa kuwa katika Lodge hiyo dadapoa hao kutoka mikoa mbalimbali nchini na nchi jirani ya Kenya wamekuwa wakifanya kila aina ya ufirauni ikiwemo uuzaji wa dawa za kulevya pia kuwalewesha wateja wao na kuwaibia huku uongozi wa Lodge ukifumbia macho.

Licha ya polisi kufika eneo la tukio na kuondoka na changudoa mmoja aliyekuwa amepasuliwa vibaya kwa chupa na wenzake ,dadapoa wengine waliendelea na vurugu wakituhumiana kuibiana wanaume na kusababisha uharibifu mkubwa katika Lodge hiyo baada ya eneo la bar kutapakaa damu na chupa zilizokuwa zimezagaa eneo la ndano ya bar hiyo.

Jeshi la polisi mkoani Arusha limeombwa kuingilia kati na kumchukulia hatua kali Wakili huyo kwa kosa la kuendesha dangulo kinyume na maadili ya nchi.

View attachment 1455908View attachment 1455909View attachment 1455910View attachment 1455911View attachment 1455912

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu huo wa Kibiashara ...na Hiyo Picha Ni ya Marehemu Wakili Nyaga Mawala ...yaani umekurupuka humjui hata Bariki Mwenyewe ..Pale kuna club na Lodge na Ni mtaaa mzima upo hivyo hivyo ..Mabar na Lodge ...Sasa ukipiga Vyombo vyako ukabeba chombo ukaenda kulala hapo ndiyo inakuwaje Danguro ....Rudi kaangalie maana ya danguro JamiiForums uzi huu Ni majungu tu kwa heshima ya JF haipaswi kuwepo
 
Ofisi kama hizo hutusaidia sana Senior Bachelors kusogeza siku za kuishi. Nampa pole sana mmiliki wa hiyo biashara kwa kuchafuliwa kwake kupitia huu uzi.
 
Back
Top Bottom