Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

Kabisa mkuu kuna awamu za uongozi nchini zilizopita na zingine zinakuja, ila tutalaumiwa sana na wajukuu zetu kwa awamu hii kuivuruga nchi.

Tuombe uzima tuweze kuiona 2020,wew utaona kitakachotokeaaaaaa.....

Watatangaza matokeo kwa nguvu......

Juzi Arusha Gambo alimwambia Lema hata kata moj hamtaipata na ikawa HVO....
 
Nashauri hoja kama hizi ziletwe akiishakuwa fit na kurejea nyumbani, japo wengi wanaamini shumbulio la Lissu limetokana na yeye kuwa outspoken, lakini ma deep thinkers hatuwezi ku rule out friendly fires possibility kufuatia jina la Lissu kutajwa tajwa.

Angalia shambulio lilitokea siku ngapi baada ya uzi huu kupanda humu jf

Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Hivyo maoni kama haya ni vema yakasubiri apone na kurejea nyumbani salama ili kwa sasa, sote katika umoja wetu tuendelee kumuombea a get well soon za dhati, na sio huku wengine tukimuombea apone, kumbe kuna wenzetu wanamuombea mengine kwa kumuhofia kwa 2020.

Paskali

Paskali,

Inaweza kuwa friendly fire ok. Lakini inawezekana kweli wakaondoa ulinzi wooote kwenye eneo la makazi ya viongozi... Just thinking loud
 
Mungu hakutaka kusudio lenu lifanikiwe, ni muda tu hope atasimama tena kwa miguu yake akiwa imara zaidi....

Eeee bwana kweli, maana angetaka kama kwa b saa eight mwenyekiti angefanikiwa! Tatizo ndio hilo hilo linaonekana bado kuwepo lakini sio kubwa sana! Ngoja twende ubelgiji madaktari wakamshauri aache siasa! Bongo ukiifahamu raha sana
 
ndivo alivoandika katika wall yake Instagram.

je wananchi wata sympathize kwa aliopitia?

binafsi nakubaliana na hoja
Ooh, so this all saga was well planned?? SYMPATHY at the center of it?? The worst ever idea to be planned by human being.
Kama lowassa hakushinda, msitegemee mtu wa sasa wa upinzani kushinda. Lowassa ali-mobile and hype people, still he hit the wall.
 
kibatala anataka kutengeneza makundi ndani ya chama na lissu yanaweza kumkuta yaliyomkuta Dr.slaa, lowassa ndie mgombea 2020 na alishasema kabisa sasa huyo kibatala asubiri aone
 
ndivo alivoandika katika wall yake Instagram.

je wananchi wata sympathize kwa aliopitia?

binafsi nakubaliana na hoja
You're Wrong!! Nakubaliana na hoja ya Lisu kuwa rais 2020 kwa 100% lakini sikubaliani ya hoja yako wewe mleta mada " wananchi wamchague kama symphaze ya kile kilichomtokea!!! Inawezekana umemkosea pia Kibatala kama primary source of information . Lisu alistahili kuwa rais wa Tanzania hata kabla ya tukio hili. Hili tukio kama nyongeza tu hivyo sio sahihi kusema 2020 wananchi wamchague Lisu kuwa rais kama kumfariji au kumwonea huruma!!
 
Tundu lissu angeshambuliwa na watu toka ndani ya chadema wangepatikana.trust me.na wangehojiwa wangekiri na dunia nzima ingejua.ingekuwa ni karata nzuri ya kukiua chama kupitia serikali polisi na hao wahusika.lakin kwa sasa viashiria ving ni tafaut na dhana ya kuwa wahusika ni ndani ya chama. Basi kama wapo ndani ya chama bas wana nguvu sana hata serikali kuwaogopa

Back
Top Bottom