Wake / Wapenzi (Wa Kike ) wetu na Mavazi

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Leo Nakuja na nyingine Baada ya Baadhi yenu kunishambulia Mnoooo kwenye "Akina Dada na Lift"
Inasadikika kuwa Akina Mama wengi sana Mara wapatapo Vazi jipya au hata kiatu kipya, kikamkaa Bara bara, basi Hiyo kwa wenzetu hawa ni kama Catalyst ya kutafuta Sababu ya kutoka (Mitoko's catalyst),nikisema kutoka a.k.a Mitoko namaanisha kama vile Kuhudhuria harus/ Birthday au tukio lolote ambalo halikuwa katika plan zao before Hilo Vazi/Kiatu kilichomkaa bara bara na akasikia watu anaowaamini (Ma mento wake) kuwa amependeza ndo Balaaa, unaweza ukasikia "Jaman Asprin jion tukamuangalie Kongosho , amelazwa tokea mwezi uliopita na sijaenda hata siku moja kuomuona"
Hili naomba mkinibishia mje na Fact.
 
Last edited by a moderator:
Kupendeza kama mwanamke kuna raha yake. Inakufanya you feel really good and positive about yourself... Hio ya kusema ukiwa na nguo unatafuta kwa kuenda, sijui... Labda tokana na age pia, sababu ukiwa na nguo ambayo hujawahi vaa na ni nzuri unai hifadhi kwa ajili ya siku ambayo utaweza kuivaa. Na sio tu mtoko wowote ule sababu tofauti na mwanaume, wanawake mara nyingi nguo za mahala mbali mbali zimepishana.

Unaweza ukawa na nguo ambayo ni casual wear, unaweza vaa mitoko ya jioni or weekends but huwezi enda nayo kumuona mgonjwa ambae yupo hospitali ama nyumbani or kwa wakwe. Kwamba unakuwa na nguo mpya hadi unatamani kuenda kuona wagonjwa, hio kali...
 
Bramo wanawake wana mambo mengi sana ukiyafikiria unaweza kukesha..
Nikiwa naangalia tamthilia na mamawatoto utakuta ananiuliza umekiona kile kitopu??.
Au umeliona lile shati au ile jeans??..wakati mie sina kabisa concetration na hiyo kitu..
Macho yao yanaangalia tofauti na ya kwetu..
Naunga mkono hoja aisee...
 
Last edited by a moderator:
Mi mke wangu hata akivaa magome ya miti anapendeza. Sisi kutoka kwetu ni kitu cha kawaida sana, sio kila siku tutoke twende kujumuika na watu, sometimes tunatoka na kwenda porini. Tunapata fresh air, tunaona ndege na wadudu mbalimbali. Pia tunaona mimea ambayo ni nadra kuonekana mjini.
Hii inalifanya penzi letu kuwa jipya kila siku.
 
THAT WAT IT TAKES BEING A WOMAN!hebu mtuache tupendeze na tuwaonyeshe tumependeza,AFTER ALL WHY SHUDNT I?NIMEKINUNUA ILI KINIPENDEZE!Ladies keeeeeeeeeep on luking mwaaa!:A S 465:
 
si ndo mana we ni snowball na mie ni snowhite,too different percepetions!jamani siye ni wanawake mnataka tuongee habari za messi na morinyo ndo mtaona raha enh?akhu!
 
Pacha ndio maana nimeunga mkono hoja aisee..
Manake nyie mkoba tu unaweza kukutoa roho...
afa ndo niubebe then shem wako asiniambie umenipendeza,walahi kuna siku huwa nalia!af hata hanielewi anaishia tu kusema wakati mwingine najiona kama nna bahati kuwa mwanaume i see,yani hili la kutokuambiwa umependeza na pochi yako mpya ndo ulie!?mi nakuwa nimenunaaaje hapo!
 
Tena na tena Bramo

Shopping ya nguo, viatu&accessories ni kitu ninachokipenda sana..halafu kupendeza inabidi mwanamke ujijulie, kuendana na umbo lako na occasion madhubuti..Nikipenda najisikia raha na kujiamini nimependeza bila hata ya kuambiwa na watu nimelipuka!! Na ninajua kupangilia vilivyo mavazi kutokana na matukio yake, siyo kiholela!!

Pia kupendeza haimaanishi uvae nguo fupi sana, inayobana au ghali sana.

Acheni tushine bwana, dunia yetu hii!!
 
Hapo kwenye bold na underline nam'support' shem aisee..duh!
 
Kupendeza kama mwanamke kuna raha yake. Inakufanya you feel really good and positive about yourself... Hio ya kusema ukiwa na nguo unatafuta kwa kuenda, sijui... Labda tokana na age pia, sababu ukiwa na nguo ambayo hujawahi vaa na ni nzuri unai hifadhi kwa ajili ya siku ambayo utaweza kuivaa. Na sio tu mtoko wowote ule sababu tofauti na mwanaume, wanawake mara nyingi nguo za mahala mbali mbali zimepishana.

Unaweza ukawa na nguo ambayo ni casual wear, unaweza vaa mitoko ya jioni or weekends but huwezi enda nayo kumuona mgonjwa ambae yupo hospitali ama nyumbani or kwa wakwe. Kwamba unakuwa na nguo mpya hadi unatamani kuenda kuona wagonjwa, hio kali...
AshaDii , Mie sijabisha na wala sina shida kupendeza kwenu, hata mie, wifi yako nampendezesha kweli kweli, ila Point yangu hapa ni kuwa, why Vitu vipya vina wa stimulate kufikiria Mtoko
 
Last edited by a moderator:
Mi mke wangu hata akivaa magome ya miti anapendeza. Sisi kutoka kwetu ni kitu cha kawaida sana, sio kila siku tutoke twende kujumuika na watu, sometimes tunatoka na kwenda porini. Tunapata fresh air, tunaona ndege na wadudu mbalimbali. Pia tunaona mimea ambayo ni nadra kuonekana mjini.
Hii inalifanya penzi letu kuwa jipya kila siku.
Bujibuji , je ukimnunulia au akipata Kifaa kipya , huwaga haundi mtoko kweli
 
Last edited by a moderator:
Mi mke wangu hata akivaa magome ya miti anapendeza. Sisi kutoka kwetu ni kitu cha kawaida sana, sio kila siku tutoke twende kujumuika na watu, sometimes tunatoka na kwenda porini. Tunapata fresh air, tunaona ndege na wadudu mbalimbali. Pia tunaona mimea ambayo ni nadra kuonekana mjini.
Hii inalifanya penzi letu kuwa jipya kila siku.

nimeipenda hii
 
THAT WAT IT TAKES BEING A WOMAN!hebu mtuache tupendeze na tuwaonyeshe tumependeza,AFTER ALL WHY SHUDNT I?NIMEKINUNUA ILI KINIPENDEZE!Ladies keeeeeeeeeep on luking mwaaa!:A S 465:
Dah snowhite ahsante kwa kuunga mkono hoja....
 
Last edited by a moderator:
Tena na tena Bramo

Shopping ya nguo, viatu&accessories ni kitu ninachokipenda sana..halafu kupendeza inabidi mwanamke ujijulie, kuendana na umbo lako na occasion madhubuti..Nikipenda najisikia raha na kujiamini nimependeza bila hata ya kuambiwa na watu nimelipuka!! Na ninajua kupangilia vilivyo mavazi kutokana na matukio yake, siyo kiholela!!

Pia kupendeza haimaanishi uvae nguo fupi sana, inayobana au ghali sana.

Acheni tushine bwana, dunia yetu hii!!

Naaam BelindaJacob , amina kwa Kuunga mkono hoja, maana kule kwenye lift ilikuwa kidogo unitoboe macho
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya kusengenyana! Mie nna viatu vipya AshaDii, hebu tualike kwako na sweetlady tukusalimie manake miguu inaniwashawasha!
 
Last edited by a moderator:
Best Advice
.
.
.
.
"Ignore Advices "
Life is too short to be
distracted by the opinions of others...
live it the way you want..!
 
a wifes job is to look pretty for her man...failure to do that is grounds for divorce
 
Back
Top Bottom