IBRAHIM UCHUNGU
New Member
- May 1, 2012
- 2
- 1
Wakazi wa jimbo la kinondoni hatujapata mbunge makini toka mfumo wa vyama vingi uanzishe tulikua na Peter Kabisa, na sasa IDD AZAN wote hawaonesha kujali na kutatua matatizo ya wananchi kikamirifu kama, kufukia mifereji ya maji macha kule kinondoni shamba, kuondoa uchafu katika masoko ya Tndale, mwananyamala, makumbusho, kigogo na mburahiti, vilevile kinondoni iliwahi kutoa wanasoka bora kwenye viwanja vyake kama, magomni barafu, Hananasif-bakari malima, mwijuma tanzania one joseph katuba (marehemu) lakin kwa sasa hayo yamekwisha kutokana na kukosa mbunge makini nawaomba wana kinondon wezangu tuwe makini tunapofanya uchaguzi ujao tuache ushabiki wa vyama tumchague mbunge makini.