Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,451
- 4,369
Habari zenu wakuu.
Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile.
Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo Pugu Dampo.
Ndugu wakandarasi hebu tusaidiane je, ni sahihi kweli kufukia makorongo ya viwanja kwa takataka.
Asante 🙏