ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wamelaumu ujenzi wa Sgr kwamba ndio umekuwa chanzo Cha Mafuriko kwenye maeneo Yao.
Swali la kujiuliza,hivi kabla ya ujenzi Environment Impact Assessment EIA ilifanyika au ndio tulikurupuka kama ilivyo ada?
Pili Miradi inatakiwa kuwa na matokeo Chanya Kwa Wananchi na sio Kuharibu maisha Yao,ikifikia huko hakuna maana ya huo mradi.
Wakati Wachina wanajenga Tazara walifuata ushauri wa kimazingira ndio maana huwezi kusikia eti reli ya Tazara inasababisha Mafuriko popote.
View: https://www.instagram.com/p/C20g5TLMnom/?igsh=a2Jwbzdmbmp0cHAy
My Take
Usipoziba ufa utajenga ukuta.Vilio kama hivi vitasikika maeneo yote ambako mradi huu imejengwa.