Wakazi adai alikuwa anafanya kazi kwa Donald Trump

Hongera zake,
Trump akipata urais atasema aliwahi kumuona live na hata kumuhudumia rais wa Marekani.
 
Aliwahi kuja tu siku ile inafunguliwa.Hivyo alikua anatumwa kumpelekea magazeti.Mbona sijamwelewa kama ilikuja siku moja aliendelea kupeleka wapi hayo magazeti?
 
"Yeye mwenyewe aliwahi kuja siku ile tu inafunguliwa....."

"Nilikuwa nampelekea magazeti kila siku....."

Confused....
 
hebu nieleweshe vizur, kuna mahali pananichanganya kwny haka kastori! upelekaji wa magazeti na kufika hotelini mara moja tu! sijaelewa
 
Sijaelewa mimi au mwandishi na Wakazi. Trump kaja mara moja tu wakati wa ufunguzi wa hotel. Harafu tena anapenda kusoma mgzeti, anampelekea kila asubuhi chumbani kwake. Naomba mniwekesawa wenzangu.
 
Back
Top Bottom