Wakati upi DATE RAPE siyo ubakaji?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Huwa inashangaza sana kuona galfriend akilalama kuwa ile ilikuwa ni "date rape"...................kuwa hakukusudia afanyiwe unyama ule na yule ambaye anamwamini na kumpenda........................but was it really "date rape" or communication gone wrong?

Huku anawasimulia wenzie kuwa baada ya mbili baridi njemba ilimpapasa nyeti zake na busu motomoto ziliendelea na yeye alizifurahia.........................lakini hapa na pale akasikia kitu moto kimepenyezwa kwenye kufuli yake..........alijaribu kumsukuma lakini jamaa alimn'gang'ania hadi akamalizia kiu yake huku nguo bado kavaa.......hata kufuli bado imefungwa............was this date rape or mawasiliano yamegongana?

baada ya hili tukio mdada adai hana hamu na mapenzi.........soma hii habari inayofanana nayo kwa mbali.........ingawaje hii ni real rape bali sexual urge takes its toll........

Our sex life has been non-existent since I was drugged and abducted
 
hata unipige na nyundo siwezi elewa hii dhana.

dhana ipi kuwa date rape siyo rape au ni rape.......................au dhana ipi sikuelwi......
 
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.
 
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.

Hapa umelonga mkuu....hii ipo sana kwenye jamii yetu hasa domestic rape so common. Nikiwa mke or gf doesn't give a man a right to force when I don't feel like.
 
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Mbimbinho, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.

Duh, hivi hakuna sheria ambayo itanisapoti kama nitalianzisha kwa situation kama hiyo? yaani vyote hivo afu bado nionekane nna makosa, hakyanani tunahitaji sheria mpya kwa hili aseee.
 
Karibu. And a gentleman will stop when told so, and he will never have sex with a woman when he knows she is not enjoying. These ar the men I respect.
Hapa umelonga mkuu....hii ipo sana kwenye jamii yetu hasa domestic rape so common. Nikiwa mke or gf doesn't give a man a right to force when I don't feel like.
 
mkuu kwenye heading yako umeshaweka neno rape..., sasa kwanini isiwe rape..?

Hata kama mtu alikuwa hataki kufanya tendo ila ukampa kinywaji kushusha inhibitions zake ili akubali, bado hio ni rape.., pia hata kama ulimforce kwa mwanzo lakini katikati akanogewa hio pia bado ni rape.
 
Baba, hata kama tuna ndoa na umelipa baba king' ng'ombe zako 300, hauna ruhusa kulazimishiana! Sheria inatambua inatakiwa kupeana raha na sio karaha na maumivu. Mekula kwako hii, na wajua vi-nightie vya siku hizi,unalo!
Duh, hivi hakuna sheria ambayo itanisapoti kama nitalianzisha kwa situation kama hiyo? yaani vyote hivo afu bado nionekane nna makosa, hakyanani tunahitaji sheria mpya kwa hili aseee.
 
Duh, hivi hakuna sheria ambayo itanisapoti kama nitalianzisha kwa situation kama hiyo? yaani vyote hivo afu bado nionekane nna makosa, hakyanani tunahitaji sheria mpya kwa hili aseee.
Mkuu mara nyingi kesi kama hizi huwa ni ngumu kwa mwanamke kushinda.., hivyo basi inabidi wanaume tuwe gentlemen kwa dada zetu na kusaidia kutokuwaweka kwenye such situations.., sababu wewe mwenyewe mwanaume utajua kwamba dada yupo willing au hapana.

Kumbuka kama mwanamke hayupo willing utakuwa unamuumiza na nina uhakika hata wewe hauta-enjoy (it takes two to tango)
 
Ladies its easy for you to blame someone lakini mnasahau haya yote most of the times mnayaleta wenyewe.too much flirting with someone you are not serious with ndo kinachowacost,kuna njemba zingine ukizibip zinapokea
 
....kuna wengine ni 'fetish'' yao kuwaumiza wengine....
 
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.

kuna hukumu moja hapa nchini mahakama kuu ilisema ya kuwa kitendo cha mwanamke kukubali kulala kitanda kimoja na mwanaumme kilimsababishia maumivu yule mwanaumme na hivyo alipomwingilia yuel binti bila ya ridhaa yake ihesabike kuwa ni suala la wille provocation..............................hivi kitandani kwangu ukilalal unafikiri utapona?.......yaani subiria mabao tena ya nguvu mengineyo mahakama itatuamulia.......
 
Ladies its easy for you to blame someone lakini mnasahau haya yote most of the times mnayaleta wenyewe.too much flirting with someone you are not serious with ndo kinachowacost,kuna njemba zingine ukizibip zinapokea

ikifikia hatua hizi basi kakubali yote yaishie kitandani.........lol
 
....kuna wengine ni 'fetish'' yao kuwaumiza wengine....
Ni kweli na kuna wengine ni fetish yao kuumizwa (wanawake) kwahio hapo wewe mwanaume utakuwa unajua partner wako yupo hivyo au mpo hivyo sio furaha yako iwe karaha kwa mwenzako.., pia maumivu hapa niliyoongelea ni more mentally than physically..., unajua any physical wounds can heal lakini rape inaweza kuacha kovu milele kwa mwanamke (psychologically),
 
Baba, hata kama tuna ndoa na umelipa baba king' ng'ombe zako 300, hauna ruhusa kulazimishiana! Sheria inatambua inatakiwa kupeana raha na sio karaha na maumivu. Mekula kwako hii, na wajua vi-nightie vya siku hizi,unalo!

kwenye ndoa hakuna rape...........soma 1 Corinthians 7:4-5 submit to your husbands and they have a control of your body and vice versa............kwenye ndoa ni kujisalimisha ondoeni kiswahili kama huwezi you stay out of kitchen particularly when you can not handle the heat
 
Back
Top Bottom