Wakati ufisadi ukipigwa vita: Hekalu la Silaa lapigwa mnada

Status
Not open for further replies.

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Wakati nchi ikiwa katika heka heka za kupiga vita ufisadi, hekalu la Silaa lauzwa huko Mbezi Beach. Nyumba hiyo ya kisasa inadaiwa kujengwa kwa fedha ambazo zimeshindwa kurejeshwa.

......ndiyohiyo
 
Hiyo ni tetesi au habari ya kweli??

Mh, hii habari nzito kipindi hiki, kama ni kweli then ntamsikitikia sana Dr. kwa sababu ya imani na misimamo yake ya haki na usawa...

Ila naamini kama angepitisha bakuli, akaita harambee popote pale nchini angeweza kukomboa hekalu lake kirahisi... he is convincing and a good motivational speaker not to get hivyo vijisenti vya kumkomboa
 
Kwani Silaa ni sawa na Slaa?

PM
Paparazi Mwazi,
Thanks. Nimepigiwa na Waandishi kadhaa baada ya Tangazo hilo la Mnada kutokea. Ni kweli kuwa "Wabantu wengi" wamekuwa wakichanganya jina Slaa na "Silaa au Silayo. Majina Silaa na Silayo ni ya kibantu na Slaa ni ya Wairaqw ambayo ni wahamitic. Hivyo siyo kosa lao waliotafsiri hivyo.
Ningekuwa na "Hekalu" kama ilivyoelezwa sijui ningelijisikiaje leo. Nashukuru kwamba sina uhusiano nalo kwa namna yeyote ile. Dr. Slaa
 
Bora umejibu mwenyewe, big thanx...!
Na kama kuna wengine wenye tuhuma si wajitokeze kama alivyojitokeza kidume mwenyewe?
ZITTO ak.a. "dowans" VIPI WEWE KUWA NA MASLAHI DOWANS??????
 
Wakati nchi ikiwa katika heka heka za kupiga vita ufisadi, hekalu la Silaa lauzwa huko Mbezi Beach. Nyumba hiyo ya kisasa inadaiwa kujengwa kwa fedha ambazo zimeshindwa kurejeshwa.

......ndiyohiyo

Ndiyo hiyo nadhani hilo jina umeandika kwa makusudi na si kwamba umekosea ama hujui...Ni wazi habari hii imekaa kiudaku na ndio maana umehusisha vita ya ufisadi na hekalu la Silaa,na kwamba hekalu lake limeuzwa kwasababu limejengwa na pesa ambazo zimeshindwa kurejeshwa,kwa maana nyingine ni mkopo...Sasa hii habari mbona kama haina kichwa wala miguu? Na ufisadi umeingiaje hapo? Ama mkopo ni wizi/ufisadi? Hata kama ingekuwa kweli still hoja haina mashiko.
Uzuri Dk mwenyewe amejibu na kasema wala hausiki na hilo hekalu,sasa Ndiyo hiyo mmeshaanza tena makundi humo CHADEMA?
 
kwa kuwa dr.slaa, mwenyewe amekanusha ni vizuri huu mjadala ufungwe,thanks dr. slaa for your quick response.
Pili huyu aliyeleta habari hii amechanganya vitu viwili tofautti mkopo na vita dhidi ya ufisadi ambayo inaendelea nchini.
 
Nadhani Mods watafanya hivyo kwani ni vyema kuwaheshimu viongozi wanaotuheshimu...Dr Slaa ni mtu wa watu na tuko naye hapa JF,hana majivunio,ana busara,hana dharau na ana qualifications zote za kuliongoza Taifa letu,uwepo wake hapa JF ni ushahidi tosha kabisa kuwa Dr Slaa ni kiongozi wa watu na si mtawala.
 
JAMANI HAWA NDIO ikhwan safaa au MALINDI

hii picha ilipigwa 1969

pamoja na EGYPTIAN na CULTURE ndio taarab pekee ambazo sie wengine tunasikiliza

akhwani%20nadi.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom