Wakati tukijiibia pesa zetu wenyewe Kenya wanaijenga nchi yao

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Tutakapomaliza kugombania pesa za Dowans na EPA tusianze kulalamika kuwa Kenya wanatunyanganya watalii kwa kujenga uwanja wa ndege karibu na mpaka wetu.

Inauma, inatia huzuni, aibu kwa taifa lakini ni ukweli Kenya wako mbele yetu kwa mambo mengi sana tupende tusipende.

Flyover construction Project, Nairobi, Kenya 2010-11.

Roysambu.jpg


juu.jpg


Bypass.jpg


5070345753_2e8367e614_z.jpg

Thika road flyover construction, Kiambu county, Central Kenya 2010.

5292510721_455cda7338.jpg

The fly-over under construction, Muranga road.
 
Sisi tunaishia ahadi tu za JK na wezi wa mamilioni, puuuuuuuuuumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
bila kusahau Airport yao.Sisi yetu inanuka choo na escalators mbovu huumwaka wa 4!

infopg2.jpg
Viongozi wetu wamekalia uswahili mwiiiiingi ahadi kibao sijui JK kaahidi meli ngapi hivi angetoa ahadi moja tu ya nguvu na kuitekeleza angebadilika nini.
 
Back
Top Bottom