Wakati JK anatoa Hotuba za kusadikika, Rwanda Mambo Tambarale!

Na sie si ndio tunaosadiki!
fly over ziko wapi wkt za chini matundu kwa kwenda mbele!
mwaka wa saba mabasi yaendayo kasi yapo kwenye ramani,excellent.
watu walimchagua hb ndio huyo anauza sura.
teh teh teh!!
tujikaze tu hadi hii miaka 3 iliyosalia ipite salama kama hatutaingia tahrir square.
JK; ALWAYS BETTER ALWAYS AHEAD!
 
Growth 8.8% ,inflation contained at 7.4 % /impressive ,even more so for landlocked country endowed with little resources apart from good leadership.
 
Back
Top Bottom