Wakandrasi wa kichina

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Jamani kuna lundo la wachina wanajenga barabara ya iringa kwenda dodoma kupitia Mtera.
Ivi uhamiaji wote hawa mumewapitisha waje fanya kazi ata za watanzania wenzetu?mpaka kuendesha magreda jamani khaaa.
Alafu wengine ni kama under18 vile.
 
wachina hawana makuu! ... wa tz usikute barabara yenyewe mmetegenewa kwa bei ya msaada alafu unataka ulete masharti.. mchina ni mtu chep labor .. usikute mshahara wanaolipwa hao wafanyakazi M TZ ataona kama uonevu.. na analipwa kidogo
 
Back
Top Bottom