Wakaka na wadada wa jf naombeni ushauri nataka kubadili hata namba kuepuka usumbufu!

hapo umenigusa shoga mana mpaka nazeeka peke yangu kwa kuogopa kuumizwa:focus:

kwenye miti hakuna wajenzi dah! achana nae huyo atakupotezea muda wako, hivi una umri gani kwani?:lol:


Huzayma.... Usiogope kupenda.... LOVE... Love is the most wonderful feeling... (mie naamini waweza ongeza siku za kuishi sababu tu kua you Love someone.....lol); My Motto... Nikimpenda Mtu nampena MAZIMA. Nikishindwana nae nasema YES I did my best but he was not for me.... B2T

Umeona eeeh? kama wewe ni She do the needful na uanze kumtoa majonzi babuu blessed hapa.
 
Huzayma.... Usiogope kupenda.... LOVE... Love is the most wonderful feeling... (mie naamini waweza ongeza siku za kuishi sababu tu kua you Love someone.....lol); My Motto... Nikimpenda Mtu nampena MAZIMA. Nikishindwana nae nasema YES I did my best but he was not for me.... B2T

Umeona eeeh? kama wewe ni She do the needful na uanze kumtoa majonzi babuu blessed hapa.

nimecheka kweli, lakini umeona enhh ? si ndo nimemuuliza umri wake mana wachanga siwawezi mie nataka walokomaa:eyebrows:
 
nimecheka kweli, lakini umeona enhh ? si ndo nimemuuliza umri wake mana wachanga siwawezi mie nataka walokomaa:eyebrows:


hahaha.... Wee una umri gani? I can recommend you know.....:tongue:
 
@Thread starter; Endeleleaa tu kuongea naye hamna haja ya kumkwepa, ongea naye kama kawaida....Akianza kuleta leta yalio pita na wakati mwambie si ulisha sema huna feel ya chochote kuhusu mimi....unaendela kumpa point hapo na mimi huwa na sytem yakuwakataa walio kuwa hawana feeling yoyote kuhusu mimi.

Unampa dozi ingine nzito kama hivi; System yangu inasema...Mwenye kunipenda na mpenda na siye nipenda namchukia yeye na family yake na jirani zake.

A
kiuliza mbona basi unaongea na mimi, una mjibu tena kwa dozi hiii; Kuongea na watu na kupenda ni vitu tofauti kabisa.

Siku njema.
 
Akizidi kusumbua mwambie utamdai pesa yako Tshs 50,000.00 uliyomtumia.
 
Ndugu yangu heri ya mwaka mpya 2012,kwanza nakupa pole sana kwa yale yanayokusibu,kifupi ni kwamba huyo dada hana mapenzi na wewe na ni bora ukachukua time zako vinginevyo utakuja umia zaidi,inaonekana hiyo pesa uliyomtumia pamoja na credit anataka kutingisha aone kama atapata zaidi na ndio maana anajaribu kukuvuta ili mkae muongee ili aweze kujifanya ya kuwa kaanza kuwa na feelings nawe,ni bora uchukue time na mtafute mwingine mwenye mapenzi nawe vinginevyo utaumia,akili ya kuambiwa changanya na zako.
 
pole mkuu kwa uvumilivu kwani dalili zilishaonyesha nini kitafuata lakini pia hongera kwa kuvuta subira
kwa ufupi huyo msichana msahau kama alikuwepo kwani mapenzi siku zote hulindwa kwa heshima na mawasiliano .. kama hakuheshimu , hajui mchango wa uwepo wako kwake na wala hajali mawasiliano basi tena haina maana uendelee nae
 
Pole mwaya,hapo huna chako,vumilia tu na mshukuru mungu amekuonyesha mapema kwan yawezekana mbele ya safari angekusumbua sn!ila amin hilo nalo litapita na ukikutana na ubavu wako utasahau yote na utashukuru kuondoka kwake na kumpisha aliye wako!achana naye wala ucmpe nafac ya kuendelea kukuumiza na kukuzibia riziki!
 
Achana nae hakupendi, endelea na huo msimamo wako kuna siku Mungu atakuletea atakayekupenda, huyo anataka umpe nauli ya kurudi chuo.. Kapendwa hajapendeka. Mpotezee kabisa.
 
si amesha kwambia hakufeel? anakutafutia nini?
-kuwa makini atajidai anakupeeeeenda kumbe likizo hii hana hela
-au kakosa nauli?

wewe unaonaje moyoni mwako unajisikia kumsikiliza? au utatonesha kidonda chako?

kama unakereka mueleze aache kukupigia simu, unahitaji kuwa mwenyewe na kumove on
 
Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting lakini mwishoe napotezewa nikimpigia kesho yake asubuh anadai aliyekuwa anatumia simu ni rafiki yake,yeye alishalala au alkuwa anasoma nilikuwa naumia bt mwanaume najikaza.Mwaka jana nov 1 nikaanza kumtoa moyoni mwangu na kupunguz mawasiliano nikaona nae anitafuti.dec 9 nikampigia nikataka kujua kama chrstmas atarudi kwao akadai nauli kikwazo nikamtumia elfu hamsini ,kwa siku 3 akanichunia kumuhuliza akadai simu aikuwa na salio nikamrechrge then nikamfungukia nikamwambia kama mapenzi yake kwangu hayapo au amepata mtu mwingne aniweke wazi niliforce kwa siku tatu ndipo akaniambia"sorry ukweli sifeel chochote on u"nikajua game is over nikatuma message 2 za kuonyesh masiktiko yangu kwake nikamuaga.Tatizo tangu chrstmas amekuwa anatuma txt na anataka tuonane nimegoma.sitak kumjibu vibaya ananikera
babu piga chini faster awa wadudu wanazingua sana,askupotezee muda bwana maduu wa ukweli mbna wapo wapo wengi tena wa ukweli tu,tabu kidogo inakuaga pale mwanzoni unapoanza kumpotezea lakini baadae unajishitukia ushaamsaau kabisa yani.
 
Mwambie aache usumbufu maana moyo wako haupo kwake tena. Kifupi mwambie ukweli ajijue.
 
Mkuu sisi wavulana hatujui kuacha. sema huyu demu hakufai ni kicheche. huyo achana nae. kama kweli umedhamilia kuachana naye achana nae kama bado unampenda mpende. Lakini huwezi msahau hiv hivi lazima utafute mwandani mwingine. nakuhakikishia utakaye mpata atakuliwaza na huyo demu utamsahau. But akipiga simu ongea nae umwambie yaliyomo moyoni mwako kama humtaki na humpendi umpe na sababu za kutompenda. mwambie kabisa na mpango ulio nao wa kuwa na mpenzi mwingine na ukishampata mwambie. Mia
 
Huyo dada keshapagawishwa na vidume vya chuo na ndio maana hana feeling juu yako tena. Hata hivyo bado wampenda? Kama ndio kaa nae chini myamalize. Kama nawe huna feelings zozote juu yake mpotezee, mblock namba yake ya simu ikiwezekana kata mawasiliano nae moja kwa moja.
Usijali Mungu atakupa wako, vuta subira na jaribu kuwa busy na ishu zako utamsahau soon.
 
Back
Top Bottom