Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 719
Hata hivyo, baada ya waumini wengi kujitokeza kutetea viongozi wa kamati ya msikiti waliowateua, viongozi wa Bakwata wa mkoa walilazimika kuomba msaada polisi ambao walifika na kuingia ndani ya msikiti huo kutuliza ghasia, kwa mujibu wa watu waliokuwepo kwenye eneo hilo.
Sasa hao askari walioingia msikitini, walivua buti zao?