Waislam wa Bethlehem wasikitika kufutwa Sherehe za Christmas, Wao Ndio Wachongaji wa Vinyago mbalimbali Vya kihistoria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Padre wa Orthodox church huko Bethlehem amesema miongoni mwa walioathirika na kufutwa Sherehe za Christmas ni Wapalestina wa Imani ya Islam

Amesema Wapalestina hao Ndio Wachongaji maarufu wa Vinyago na Sanamu mbalimbali za kihistoria ambazo hupendwa Sana na Watalii

Kufutwa Sherehe za Christmas kumepunguza Sana idadi ya Watalii

Source Al jazeera news
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom